Video: Msukuma Kasheku akipiga nyungu

Video: Msukuma Kasheku akipiga nyungu

Sasa hiyo dawa ya kujifukiza ni kinga au inatumika pale mgonjwa anapougua? na inatibu ugonjwa gani Kati ya changamoto ya kupumua au nimonia kali?

Je inaweza kutibu covid19 pindi itakapoingia Nchini Tanzania?
Iingie mara ngapi?
 
Wapuuzi hawa wanatuharibia sana nchi yetu sasa tumekuwa kichekesho cha dunia. Juzi nimekutana na Mama mmoja msukuma mtu mzito huyu ni maalwatan sana Nchini. Jiwe alipoingia ile 2015 yeye na mumewe wakawa wanamfagilia sana. Walikuwa wananiudhi ile mbaya lakini kwa jinsi tunavyoheshimiana uchakaramu wa BAK nikaamua tu niuweke pembeni na kubaki kukenua kenua kila wakianza kumwaga sifa zao kwa jiwe
Sasa hiyo juzi alianza kunihadithia kuhusu anavyomchukia jiwe, jinsi jiwe alivyoharibu nchi, jinsi jiwe alivyoharibu uchumi na kushindwa kabisa kupambana na corona. Mie kimya kimya nasema welcome 🙏🏾 to my camp Madam.
Hawa ndiyo jiwe anawataka maana ni watu wa NDIYOOOOOO
 
Mimi simshangai kabisa Msukuma nawashangaa hao wenye maPhd.
Phd ni sawa na toilet paper.
Ktk wasukuma wote angalau Kishimba ana reasoning sababu ya exposure ya kutembea duniani hata akichangia ni kama ana phd.
 
Back
Top Bottom