Video mpya ya wimbo wa 'Aiyola' Harmonize

Video mpya ya wimbo wa 'Aiyola' Harmonize

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Msanii aliyesainiwa chini ya WCB, Harmonize leo ameachia rasmi video ya wimbo wake Aiyola..

Video hii wameshoot South Africa na imeongozwa na Nick Roux (moja ya video alizotengeneza ni Love boat ya Kcee ft. Diamond)

Link ya video youtube https://m.youtube.com/channel/UCwIKyl0V5Cb5WRTazrhg-2A
 
Huyu dogo ni mkali sana anajua mpaka basi.. Kama sikio langu alinidanganyi huyu dogo atasumbua ile mbaya ana kitu kikubwa ndani yake.
 
Video uchwara mbona, bora angempa ulaji hanscana tu kuliko kusumbuka hadi south
 
Investment mbona imekuwa kubwa wakati audio yake sioni kama inafanya vizuri?
 
Tatizo Ni kwamba Kuna. kama Swaga za Diamond Ndani.. kitu ambacho kinaonyeshA ubunifu hakun Ila Kuigana.
 
  • Thanks
Reactions: me1
Ni bonge la video lenye ngoma iliyoenda skonga yenye ujumbe uliomaliza vyuo big up Harmonize kwa kumuonyesha DIAMOND kuwa hakufanya kosa kukuchukua katika lebo yake hongereni WCB kwa kuitendea haki hii ngoma.
 
Huyu dogo kanikumbusha mbali sana na hii nyimbo yake.Enzi zile za Diamond akati anaimba nyimbo za hisia kali.Nimempenda ghafla sana.Kwakeli namiss sana miziki kama hii yenye hisia kali.
 
Sijaelewa haja ya kupanda kwenye mkokoteni wa punda,halafu mazingira yale ya kijijini imefanya video ipungue quality
 
Back
Top Bottom