Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,222
Video inaleta maswali amabayo ni mengi kushinda majibu mpaka sasa.
Hii video wameitoa wapi, kama kupitia a reputable media ni ipi?
au ni nani karekodi na huyo jamaa anautaratibu wa kurekodi video hata kwa matumizi binafsi au ndio mara ya kwanza, na katumia nini camera au simu? maana mtu wa kawaida hawezi kurekodi tukio kama lile na yeye akimbilie straight kwenye walioudhurika angeogopa tu kama wengine walio kaa mbali, this guy must be taken for questioning soon.
CDM wanautaratibu wa-kurekodi their political rallies if yes are there prior evidences if not why this one?
CDM wanauhusiano gani na huyu jamaa alierikodi, kwanini asizipeleke kwenye media au police aanze na CDM?
Kuvaa nguo za polisi aina maana jamaa lazima alikuwa polisi anaweza shona sare yake na yeye na kupata mabomu na risasi za serikali kama ndio zilizo tumika na kama kweli ni polisi ni picha yake hiko wapi na aelezee kafanya hayo matendo kwa amri ya nani maana JK alikuwa UK kipindi hicho na mawaziri kebe tu.
Maswali ni mengi naelewa CCM kama chama kilicho ishiwa na itafanya mengi kubaki madarakani but i just dont buy this one, someone needs to be hanged here. Atuwezi kucheza na maisha ya watu kisa uchu tu wa madaraka.
May be you should quote other people and leave me alone because i can go on and on; on this one.Reputable media ndio nini km recording ya event?
-Kuna kitu hujaona..ile kamera ilikuwa inazoom,na kuzunguka...na kuzunguka ila haikuwa imeshikiliwa na mtu km inaongozwa na remotely.Na hivo kufaya search yake isiwe directly na smooth.
-Hiyo ya kuvaa nguo z apolisi itakuwa ajabu sana km polisi wanakuwa site halafu wanatokea watu waliovaa km polisi na wasiojulikana ktk timu ya arusha bado wakawaacha wafanye actin kwa jina lao na silaha za kuwatisha bila wao kulalamika.
May be you should quote other people and leave me alone because i can go on and on; on this one.
Kwanza Lema alishawahi kupiga picha na mwanajeshi for the purpose of misleading us that even the soldiers are on their side. Only for us to learn he wasn't one, na magwanda aliyashona tuu yule jamaa au Lema mwenyewe alimshonea tu muhuni mmoja for the purpose of photo opportunity and implementing the army of being tired too.
Hence what makes you think this is anything different ya kwamba jamaa kashonewa magwanda only this time to kill in the midst of the police force ambao walikuwa busy overseeing the congregation anyone could have joined with their uniform au hata labda polisi mmoja alilipwa na wengine ambao sio serikali kutimiza agenda sisemi na CDM.
Huyo askari aliyeonekana akirusha bomu yupo wapi, iweje muwe na ushahidi wa askari kurusha bomu na kupiga risasi hila picha azipo, let me guess you only had one camera to zoom the whole meeting and capture what suited you ama? maana kama mnadai mlikuwa na kamera za kulinda mkutano wenu wa kisasa iweje zikamate matukio ya bomu tu, huyo mrushaji mbona aonekani, yeah the camera did not zoom there si ndio, Embu msisumbue watu this time wengine tunawaombea wahusika wakamatwe na watiwe lupango tu.
By the way reputable media was used in the context ya kwamba kama mkanda mmeutoa kwenye chombo cha habari ambacho kinajulikana na kilikuwa kinafuatilia mkutano for the purpose of reporting ndio ikapata hizo images kumbe mlikuwa na CCTV zenu apparently ambazo zimekata kile mlichokitaka.
Why other people?You still insist that yo gonna keep on going on and on?
hujanijubu haya wee gaidi:
Reputable media ndio nini km recording ya event?
-Kuna kitu hujaona..ile kamera ilikuwa inazoom,na kuzunguka...na kuzunguka ila haikuwa imeshikiliwa na mtu km inaongozwa na remotely.Na hivo kufaya search yake isiwe directly na smooth.
-Hiyo ya kuvaa nguo za polisi itakuwa ajabu sana km polisi wanakuwa site halafu wanatokea watu waliovaa km polisi na wasiojulikana ktk timu ya arusha bado wakawaacha wafanye actin kwa jina lao na silaha za kuwatisha bila wao kulalamika.
Halafu uje kwenye haya mr mwigulu:
-Camera hata ingekuwa moja yenye kuona 360 km ulivyoambiwa ktk taarifa ya chama..inakuwa inazunguka.Na ktk video ndicho kinachonekena camera inazunguka sehemu moja ,halafu ina zoom, kwa haraka kwani aliyekuwa anaionoza remotely alipopata target akaivuta haraka.Huna ujanja hapa ni the Hague tuu.
-Kwa ujinga wako utauliza reputable media kwa vile mlishazibana media, ilas ijui hata benak pakiibwa mtawataka waje na reputable media.Kichwa maji kabisa.
-Halfu pia ujua kamera huwa haziwekwei ili kulinda il akutambua baadaye, wanaoweka kulinda basi huwa wanaziweka kwa melengo ya kutazama na kuafifu watu wa getini au usalama.
-Kushonewa magwanda ni sababu ya kijinga sana, kani unadhani polisi wa arusha hawajuani mji mzima?wale polisi wanabadilishana vituo, mahakamani, doria etc.Sasa kuona wapya lazima watakuwa wameambiwa kuna special force imeingia kazini na wafanye nini pasiwe na mgongano wa moves zao.Sasa km aksari hawakuona tofauti walikuja linda nini?Na km ni hivyo basi ina maana hata akina JK hawapo salama.Askari wao wanaweza achia mtu yoyote mwenye uniforma aje ,au na kuondoka.Kwa taarifa yako hata askari mwenzao akiua km taarif ahaikupangwa wengie huwajibika mdhibiti asijekuwa ana kichaa.
-Issue ya idadi ya kamera haikuhusu na kingin ekilicoonekana pia hakikuuhusu,kinachohusu uma hapa ni kile kilicho kilichohitajika.Idadi ya kamera ni siri ya CDM.
Mtadai mengi sana ila kiwango chenu kipo chini sana na mnachosubiri ni kusulubiwa na raia au mahakamani.
utaspin sana na ku vibrate sana ila mimi huw asipepesi macho..ulichoandika hapo huwezi sema hakina upande.Kwa kili yako unadhani umejitetea ila unapomalizia huna tofauti na Pinda alivyomalizia bunge aka nullify kila kitu.Kwanza mimi sina upande moja take it or leave it, my main concern is the overall political progress that includes the right people being in the right position to take us forward take it or leave that is my stance.
Tukirudi kwenye concerns zako, itakuwa unaanza kukinzana na wana CDM wenzako kwa kauli yako ya kuwa polisi wa arusha wanajuana na ni wao tu walikuwepo meaning wale wanaosema kulikuwa na special force kutoka morogoro ni waongo.
Pili utakapo ulizwa the purpose of security camera is to protect therefore it should aim to capture all the angles you cant just have one camera and say its for security and use that as an evidence mbaya zaidi ambapo hile camera inapokamata the images that would back your argument only already the whole thing becomes fishy.
Tatu in the name of the law CDM could have cooperated with the law enforcement or other bodies in bringing about their evidence of the bombing. lakini wao wamechukua muda na kwanza kulitumia hili suala for political gain why? Usiseme polisi hawawaamini ina maana JF tu ndio chombo cha kuhabarisha tz.
Finally sitosahau kauli ya Miss shonza humu kama tutashinda arusha kwa vishindo na matetezi ya sasa ya CCM yakuwa CDM wameboronga kwakukimbia uchaguzi. Ukati ualisia wa umati ni kwamba CDM imekamata himaya hivyo mkono wao pia unanafasi kubwa ya kuhusika kwa namana ku-postpone uchaguzi, lakini you people are making it difficult for the purpose of elimination purposes, ingawa ni ngumu sana theory ya CCM involvement so far maana the way you handle this has all the elements of political sympathy.
usiku mwema
Video inaleta maswali amabayo ni mengi kushinda majibu mpaka sasa.
Hii video wameitoa wapi, kama kupitia a reputable media ni ipi?
au ni nani karekodi na huyo jamaa anautaratibu wa kurekodi video hata kwa matumizi binafsi au ndio mara ya kwanza, na katumia nini camera au simu? maana mtu wa kawaida hawezi kurekodi tukio kama lile na yeye akimbilie straight kwenye walioudhurika angeogopa tu kama wengine walio kaa mbali, this guy must be taken for questioning soon.
CDM wanautaratibu wa-kurekodi their political rallies if yes are there prior evidences if not why this one?
CDM wanauhusiano gani na huyu jamaa alierikodi, kwanini asizipeleke kwenye media au police aanze na CDM?
Kuvaa nguo za polisi aina maana jamaa lazima alikuwa polisi anaweza shona sare yake na yeye na kupata mabomu na risasi za serikali kama ndio zilizo tumika na kama kweli ni polisi ni picha yake hiko wapi na aelezee kafanya hayo matendo kwa amri ya nani maana JK alikuwa UK kipindi hicho na mawaziri kebe tu.
Maswali ni mengi naelewa CCM kama chama kilicho ishiwa na itafanya mengi kubaki madarakani but i just dont buy this one, someone needs to be hanged here. Atuwezi kucheza na maisha ya watu kisa uchu tu wa madaraka.
Ndio maana ikawa karibu na geti si ndio, clearly you dont know nothing regarding CCTV-Halfu pia ujua kamera huwa haziwekwei ili kulinda il akutambua baadaye, wanaoweka kulinda basi huwa wanaziweka kwa melengo ya kutazama na kuafifu watu wa getini au usalama
mpaka hapo utakapo kuja na video yako au picha kama za Mwangosi na askari wa serikali ndipo tutakapo amini , vinginevyo so far tunachukulia pengine ni kama yule sampuli ya Mwanajeshi wa Lema only this time karusha mabomu na kupiga watoto risasi kwa faida za M kuonewa huruma za kisiasa.-Kushonewa magwanda ni sababu ya kijinga sana, kani unadhani polisi wa arusha hawajuani mji mzima?
Mbona unaongea kama unamjua huyo mrusha bomu kwa sura au police tactical on that day, do u know anything that the rest of us dont know, vinginevyo unamwaga pumba tupu ama unataka kutulazimisha ukweli uliojiaminisha wewe, for some unless you bring evidence huyo atakuwa askari wa Lema tu (i am entitled to think independently especially where the evidence is vague).wale polisi wanabadilishana vituo, mahakamani, doria etc.Sasa kuona wapya lazima watakuwa wameambiwa kuna special force imeingia kazini na wafanye nini pasiwe na mgongano wa moves zao.Sasa km aksari hawakuona tofauti walikuja linda nini?
typical of a puppet on a string do not question ndio nyie kesho huwa mnafanywa chambo kwa maslahi ya wachache just as in this instance (well kind of)-Issue ya idadi ya kamera haikuhusu na kingin ekilicoonekana pia hakikuuhusu,kinachohusu uma hapa ni kile kilicho kilichohitajika.Idadi ya kamera ni siri ya CDM.
Amazing of you to mention the court of law considering you dont believe in a fair system currently, may be you live in ya own imaginary world ndio sababu hata argument zako zipo eclectic to justify ya own nonsense which is all over the place.Mtadai mengi sana ila kiwango chenu kipo chini sana na mnachosubiri ni kusulubiwa na raia au mahakamani.
this is why we do not need an inquiry because you have the face of the man that threw the bomb, i tell ya you so clever Nicholas (in your own little world).Ni udogo wa ubongo wako tena unakuuza na kukuanika wewe na wauaji wengine..Nimekuambi kujuana kwa polisi kunaonyesha kwamba hao wauaji anaosema Mwigulu au pinda kuwa ni wakuletwa Polisi wangewatabua kuwa si wenzao,na silaha zilipolia poliisi wangeact,ila wao hawakuwafnya kitu na haikuwa complain yao mpaka leo.
hii nawaachia wale wanaolinda saa hizi na wanajiliwaza na JF wasome pumba hizi maana hata uelewi the purpose ya security camera kumbe.-Nani kakuambia unahitaji camera nyingi kuweza toa detailed picture?umesoma wapi security wewe kimeo.bomba unaongea mambo yasiyo secure.Hizo camera nyingine unataka ujue za nini?kwani walioshikwa ktk hizo kamera zingine unataka uwajue kwani kuna concern yao imeuwa risen?
.Those are the allegation but they have no backup evidence to justify them, just as i believe the whole thing was planned by CDM.-Lawa inforcement wa nini wakati walishuhudia na kushiriki.
Kwa mikwara tu amjambo, aliekwambia hatakuja kwenye rally zenu nani mumtungue bomu wenyewe, unacheza wewe.wewe subiri unayostahili
thanks for the compliments, hila mi wakawaida tu ushakutana na watoto wamafisadi wewe ambao wamepelekwa shule na wakatetea hoja na hada zao hizo shule wanazoenda, huwezi kutetea mfumo wa sasa niamini.Zinjanthropus
Kama ww ndio wanakutegemea huko upande wa pili dhidi ya Homosapiens ''modern man'' hutaweza maana wako advanced sana kukuliko na unavyoozidi kubwabwaja ndio unajivua nguo kabisaa na kuonesha ulivyo huna kitu kichwani wkt huko ww ndio kichwa wao. Lol pole sana cccmm
Video inaleta maswali amabayo ni mengi kushinda majibu mpaka sasa.
Hii video wameitoa wapi, kama kupitia a reputable media ni ipi?
au ni nani karekodi na huyo jamaa anautaratibu wa kurekodi video hata kwa matumizi binafsi au ndio mara ya kwanza, na katumia nini camera au simu? maana mtu wa kawaida hawezi kurekodi tukio kama lile na yeye akimbilie straight kwenye walioudhurika angeogopa tu kama wengine walio kaa mbali, this guy must be taken for questioning soon.
CDM wanautaratibu wa-kurekodi their political rallies if yes are there prior evidences if not why this one?
CDM wanauhusiano gani na huyu jamaa alierikodi, kwanini asizipeleke kwenye media au police aanze na CDM?
Kuvaa nguo za polisi aina maana jamaa lazima alikuwa polisi anaweza shona sare yake na yeye na kupata mabomu na risasi za serikali kama ndio zilizo tumika na kama kweli ni polisi ni picha yake hiko wapi na aelezee kafanya hayo matendo kwa amri ya nani maana JK alikuwa UK kipindi hicho na mawaziri kebe tu.
Maswali ni mengi naelewa CCM kama chama kilicho ishiwa na itafanya mengi kubaki madarakani but i just dont buy this one, someone needs to be hanged here. Atuwezi kucheza na maisha ya watu kisa uchu tu wa madaraka.
Ngoja nilale, nisubiri part two labda tutamuona adui yetu mrusha bomu, hii part one imekaa kutuhuzunisha tu maskini ya mungu raia wasio na hatia.Niwie radhi,
Which solar system or galaxy do reside?
If you live in our solar system which planet do live? Mercury?
In planet earth, things have changed a lot since year 2000.
Karne hii ya 21 unauliza maswali hayo?
Bado kidogo mtasema hakuna mtu aliyekufa Video ni Fake.
Kuna Camera za bei chini ya $10,000 zinaweza kuzoo na kupiga picha very clear ya mjusi ukutani mita 500 ziko zinazokwenda 1000M pia.
Sioni cha kushangaa
Naona jinsi utelezi wa knowledge unavyowatafuna nambari1.
Fedha si kila kitu, know how is.
Wenzetu huku First world, kwa vile serikali zao zinawamonitor kwa Technology kuna kitu kinaitwa Watching the Watcher.
Ni pale Kila mwanchi atakapo kuwa na Camera ya Video masaa 24 halafu picha za Kamera zote kuunganishwa pamoja kwa kila atakaye kuona aone. Hebu Fikiria Kamera 100,000 za serikali against 100,000,000 za wenyenchi.
Ikifika hapa Serikali ndo itakuwa monitored si wananchi tena. Watcher will be Watched and if necessary scrutinized.