VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

Ben Saanane

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2007
Posts
14,580
Reaction score
18,222
Tahadhari: Tafadhali fungua ukiwa mbali na watoto kwa kuwa kuwa ni video ya kikatili


WANAJF,

Video hii ni sehemu ya kwanza tu inayoonyesha kabla na baada ya bomu kulipuka hali ilivyokua bila kuonyesha ni nani aliyelipua.Ni video ya dakika 4:19.Hivi ndivyo maisha ya watanzania wenzetu yalivyokatishwa kikatili.



Bomu Arusha Mkutano ChademA 15 JUNE - YouTube
 
Last edited by a moderator:
WANAJF,

Video hii ni sehemu ya kwanza tu inayoonyesha kabla na baada ya bomu kulipuka hali ilivyokua bila kuonyesha ni nani aliyelipua. Ni video ya dakika 4:19. Hivi ndivyo maisha ya watanzania wenzetu yalivyokatishwa kikatili.Bonyeza link hiyo naamini Moderators watatusaidia

tunataka hasa inayohusu hapo blue kwani ndiyo itakata mzizi wa fitina na vilimilimi vya baadhi yetu
 
Yes; ni mbaya sana sijui kama kulikuwa na chembe ya ubinadamu zaidi ya ushetani
 
Too sad.....mungu yupo we all believe that. laaaa
 
Mungu wangu, hii yoote kuwatisha watu wasiende kwenye mikutano ya wapinzani, ikiwezekana CCM iendelee kuwa madarakani, kwani wakiondolewa, siri zoote zitakuwa wazi kwa mfano:-

1. Kifo cha Sokoine hakitakuwa fumbo tena.
2. Kifo cha Holace kolimba wahusika watafahamika na wananchi watajua ni nani aliyewatuma wafanye mauaji yale.
3. Kifo cha Imrani Kombe kitaangaliwa upya, na kutakuwa na fursa ya kohoji kwanini wauaji waliachiwa huru na kwa maslahi ya nani
4. Ufisadi wa melemeta utahojiwa, kupata ukweli kama kweli ulikuwa ni mradi wa Usalama wa Taifa na kama kweli Usalama wa Taifa wanafanya biashara.
5. Kutakuwa na fursa ya kuwabana wale wezi wa Pesa za EPA ambao walisamehewa na Kikwete na kuwaomba warudishe ilihali, kuna watu wamebainika kuiba Baiskeli wanaozea jera.
6. Kutakuwa na fursa ya kujua kama kweli Pesa ya EPA imerudishwa yoote au ilikuwa ni funika Kombe Chadema ipite.
7. Kutakuwa na fursa za kuhoji uhusika wa Kikwete katika ishu ya Richmond, japo Lowassa alitaka kutudokeza lakini alisita.

.
.
.
.
.
.
.
.
6548. Kutakuwa na fursa ya kujua kuna siri gani ya kuendelea na watu kama akina Kamuhanda japo ametajwa katika mauaji ya Songea na Iringa?

6549. Itafahamika kama Balali alifariki kweli au yupo hai, na kama yupo hai kwanini afichwe?
 
inasikitisha sana , sisiem ni magaidi aisee . mwigulu akamatwe, au wananchi tuchukue hatua wenyewe ili Kusikalike ?
 
Mwili wote unazizima POLICCM wauaji wakubwa sijawahi kuona
 
Ben,

.... umenikumbusha kwenye tukio!!! ...tunauwawa.....hii sauti kutoka katika gari la matangazo...haitatoka masikioni mwangu....

Asante sana ni muhimu kwa umma wa Watanzania kujuionea ukweli......
 
part two ndiyo inasubiliwa sana maana itakata mzizi wa fitna
 
No no no pls. Jesus Christ ! Huu ni unyama Wa hali ya juu oh my God.
 
roho inauma sana tena sana-damu iliyomwagika Mwigulu atakuja kuilipia tena hapahapa duniani
 
Hatari sana...ila mzee mungu hataniwi..
 
Duh! Hatari mimi cio mpenzi wa cdm lakini hii imenitoa machozi. Hapa mmedhulumiwa
Mungu atawalipieni cdm msikate tamaa. Adui yenu anatumia pumzi yake ya meisho sasa.Poleni sana
 
Back
Top Bottom