Video: Mdada Mtanzania, akililia kurudi nyumbani Tanzania baada ya mateso Oman

OGTV

JF-Expert Member
May 22, 2016
353
167
Watanzania wengi wanaoenda kufanya kazi nchi za Asia, wanaishia kukutana na kazi zisikowa katika makubaliano ya kwenye mkataba na kupata mateso mbali mbali na kupokonywa Passport.

Epuka kwenda kufanya kazi nchi hizi itakula kwako.
 
Angekuwa USA asingelia hivyo.

USA baby
upload_2016-6-16_7-7-11.png
upload_2016-6-16_7-7-13.png
upload_2016-6-16_7-7-15.png
upload_2016-6-16_7-7-16.png
upload_2016-6-16_7-7-17.png
upload_2016-6-16_7-7-17.png
upload_2016-6-16_7-7-18.png
 
"Ukiyaka kujua muelekeo waulize na uzingatie maelezo ya werevu wanaorejea."

Poleni ndugu zangu wenye malengo ya kuboresha maisha lakini mpo katika mikoni isiyo salama.
 
Sasa huyo Sultan ndio nani? Bosi wake? Na amefanywa nini kiasi cha kulia hivyo? Amemwagiwa maji ya moto? Amechomwa na moto wa gesi? Amefanyiwa ukatili wa kijinsia systematically on a regular basis?, anatumikishwa kama punda na kunyimwa chakula na muda wa kupumzika? Ubalozi Wa Oman upo au haupo na kwanini hakwenda huko ubalozini? Wamemzuia kutoka nje ya nyumba na kumfungia ndani kama mfungwa/ mtumwa? Tungependa kujua haya na mengine mengi tu kabla hatujajadili chochote. Kwanza hii video umeitoa wapi?
 
Calm down. Unawajua waarabu wewe?
 
Mimi nakwambia hawa Waarabu ni makatili sana, hawana ubinadamu kabisa! Hizi stori za Waafrika kunyanyaswa kwa hao Waarabu zipo nyingi sana, na si Waafrika tu hata Watu wanaotoka far east wananyanyaswa sana hizo nchi za Waarabu. Watakuja hapa watumwa wao kuja kuwatetea!
 
Huyo Home sick... Kusema kweli wafanyakazi under age huwa hawaezi kuhimili ughaibuni !!! refer( Philipines/indonesian/ethiopians/kenyans/TZs na indians) !!
 
Back
Top Bottom