Video: Mbowe atikisa Vwawa , wananchi wamshitukia akiwa kwenye gari , Kijiji kizima chalipuka kwa shangwe !

Kiongozi mzito kama huyu anayewindwa na awamu ya 5 kwa udi na uvumba hawezi kusafiri kibwege , anatembea na timu ya maofisa
Naamini kuanzia sasa mtaacha kuuliza uliza inapotekea kiongozi wa CCM ,au kaenda sahemu alafu akachukuliwa video za ghafla
 
Ingekuwa haijiamini ingechagua watu wa kujiandikisha. Kwanza hii kubembelezwa ni uungwana tu wa rais. Miaka ya nyuma mwanaccm mmoja alikuwa na uwezo wa kujiandikisha hata mara tano na anapiga kura.
Mkipewa fursa mnaongea, mkinyimwa fursa mnaongea.
Wingi wa kura unatoa nafasi ya watu kujitafakari wamekosea wapi hata wakichakachua lakini ukweli unabaki kuwa hatukubaliki hapa. Mkiacha wengine wakichagua hata kumi na wakichagua ccm itaonekana wazi kuwa tunakubalika hapa isipokuwa wapiga kura ndio wachache. Tatizo la nyumbu ni kutotumia akili.
Kwa hili andiko la hovyo hivi ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiri? Basi ni sawa na kusema kuwa wewe ndio genious huko ccm kwani iq yako iko below level na Kisha unajitapa! Wahi chamwino Kuna nyama na pombe ya bure iliyotolewa Kama ofa baada ya kujiandikisha!
 
Kweli hiki kijiji kina watu hawa tuu? Kweli wengi sana hongera kwa umati mkubwa sana uliojitokeza.
 
Wameshindwa kuiua CHADEMA inawauma sana.
MaCCM wanakuwinda hawa ni MASHETANI. Kuwa makini kiongozi wangu. Vibaraka wa shetani MKUU Wamekuja na propaganda ya kufa mtu, wamejazwa mitandandaoni ili uachie uenyekiti watupandikizie (muunga mkono na miguu yote juhudi) watugeuze TLP, na CUF.
Mungu akubariki sana kiongozi wangu, Mh, Mbowe.
 
Ingekuwa haijiamini ingechagua watu wa kujiandikisha. Kwanza hii kubembelezwa ni uungwana tu wa rais. Miaka ya nyuma mwanaccm mmoja alikuwa na uwezo wa kujiandikisha hata mara tano na anapiga kura.
Mkipewa fursa mnaongea, mkinyimwa fursa mnaongea.
Wingi wa kura unatoa nafasi ya watu kujitafakari wamekosea wapi hata wakichakachua lakini ukweli unabaki kuwa hatukubaliki hapa. Mkiacha wengine wakichagua hata kumi na wakichagua ccm itaonekana wazi kuwa tunakubalika hapa isipokuwa wapiga kura ndio wachache. Tatizo la nyumbu ni kutotumia akili.
Kuna neno umesema ccm yako kwamba miaka ya nyuma mwana chama wenu alikuwa anauwezo wa kujiandikisha zaidi ya mara tano hii ni kwa maana bado mchezo mchafu wenu hujakomaa labda mfe wote ndipo tupate serikali mpya
Kweli mwinyi alisema kuwa maji yamekishwa korogeka
Na Kikwete Kawa mbia kuwa kuwa kiongozi haku fanyi uwe tofauti na wengine {kuji mwambafài}
Na leo munakuja na gia ya kuwawajibisha rc kwa nini raia hawajitokezi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura
 
Back
Top Bottom