Video: Mbowe atikisa Vwawa , wananchi wamshitukia akiwa kwenye gari , Kijiji kizima chalipuka kwa shangwe !

Munazidi kuwapoteza kiukweli wapiga kura munabaki na matapu tapu mpaka imefika mahala jafo anatuma maombi ya kutumika ubabe wa kulazimisha raia kujiandikisha kana kwamba ni wajibu nasio halali!!!!
Kwani hao wapiga kura si wanachagua mgombea wanaemtaka? Kwako ni kwaajili ya chadema tu CCM hawawahusu? Au CCM tayari wana kurazao zimesha pigwa zipo kwenye mabox mnasubiri kuingizwa Sikh ya uchaguzi ndiyo maana wapiga kura wote wanaonekana ni wa Chadema
 
Asikuambie mtu hii serikali ya ccm bado ina wasi wasi na haijiamini mpaka leo sijui kwa nini ngoja tuone mwakani itakuwaje watakuja na ngojera gani maana kauli mbiu ni itakuwa #Chaguatabuaunafuu
 
Ingekuwa haijiamini ingechagua watu wa kujiandikisha. Kwanza hii kubembelezwa ni uungwana tu wa rais. Miaka ya nyuma mwanaccm mmoja alikuwa na uwezo wa kujiandikisha hata mara tano na anapiga kura.
Mkipewa fursa mnaongea, mkinyimwa fursa mnaongea.
Wingi wa kura unatoa nafasi ya watu kujitafakari wamekosea wapi hata wakichakachua lakini ukweli unabaki kuwa hatukubaliki hapa. Mkiacha wengine wakichagua hata kumi na wakichagua ccm itaonekana wazi kuwa tunakubalika hapa isipokuwa wapiga kura ndio wachache. Tatizo la nyumbu ni kutotumia akili.
 
Sasa mnalamika nini?

Nendeni wana CCM mkajiandikishe kwa wingi,saa 12 asubuhi ushindi ni wenu.
 
Tobaaaa, baadae utasikia wananchi walinisimamisha wakaniomba nisiachie uenyekiti wa chama wana imani sana na mimi. Na mimi nimetafakari sana nimeona nisiwavunje moyo ntaendelea kuwa mwenyekiti
 
Ingekuwa haijiamini ingechagua watu wa kujiandikisha. Kwanza hii kubembelezwa ni uungwana tu wa rais. Miaka ya nyuma mwanaccm mmoja alikuwa na uwezo wa kujiandikisha hata mara tano na anapiga kura.
Mkipewa fursa mnaongea, mkinyimwa fursa mnaongea.
Wingi wa kura unatoa nafasi ya watu kujitafakari wamekosea wapi hata wakichakachua lakini ukweli unabaki kuwa hatukubaliki hapa. Mkiacha wengine wakichagua hata kumi na wakichagua ccm itaonekana wazi kuwa tunakubalika hapa isipokuwa wapiga kura ndio wachache. Tatizo la nyumbu ni kutotumia akili.
wananchi wamechoka sana na hii electoral system na mfuko mzima siasa za vyama vingi. Uchaguzi si jambo la muhimu tena sababu maelekezo ya uongozi yana upendeleo wa wazi kwa CCM. Watanzania si wajinga sana na wanajua wanachokitaka.
Ukweli kama ni kulalamikia upendeleo watu wamelalamika sana kwahiyo wasipojitokeza kujiandikisha na hatimaye kupiga kura hawatalalamika zaidi ya ilivyo sasa!
 
Walijuaje yupo katika gari ,kwahiyo wakajiandaa kumrekodi ,haya ndio maswali wangejiuliza watu wa chadema kama ingekua ni kiongozi wa CCM
 
Kwani hao wapiga kura si wanachagua mgombea wanaemtaka? Kwako ni kwaajili ya chadema tu CCM hawawahusu? Au CCM tayari wana kurazao zimesha pigwa zipo kwenye mabox mnasubiri kuingizwa Sikh ya uchaguzi ndiyo maana wapiga kura wote wanaonekana ni wa Chadema
Kura yako siyo haki yako, ni haki ya CCM.
 
Walijuaje yupo katika gari ,kwahiyo wakajiandaa kumrekodi ,haya ndio maswali wangejiuliza watu wa chadema kama ingekua ni kiongozi wa CCM
Kiongozi mzito kama huyu anayewindwa na awamu ya 5 kwa udi na uvumba hawezi kusafiri kibwege , anatembea na timu ya maofisa
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom