Video: Manji anahuzunisha, anataka kulia

Video: Manji anahuzunisha, anataka kulia

Fikiri kwanza is the most important thing kabla ya kukimbilia kujibu kishabeki tu, masaa yote mnasupport watu blindly bila ya kujua undani wao, mnapiga vita juhudi za JPJM za ku-deal na ma Demi Gods walio kuwa wanalipeleka puta Taifa letu kwa kufanya mambo ya ndio sivyo as if Serikali ilikuwa imekwenda likizo - kajitokeza Mzalendo wa ku-deal na vices hizi headon nyinyi mnambeza beza tu bila aibu!!!

Rais Micheal wa Msumbiji aliwahi kusema wakoloni wana ubaya wao, lakini wabaya zaidi ni Waafrika wanao wawezesha Wakoloni kutawala/Plundering Natural Resources za Bara letu na kufirisi Mashirika ya UMMA kwa kuwarubuni Waswahili walio pewa dhamana ya kuyasimamia, mambo haya yamefanyika sana hata hapa kwetu Tanzania - who needs watu wasio kuwa na uchungu wa kweli kuhusu Bara letu na watu wake - Kwa bahati mbaya baadhi yenu hilo amulioni, kila kitu mnakichukulia kisiasa siasa tu.

Back 2 the main point - jaribu kuangalia nilikuwa namjibu nani kuhusu nini? Alisema Babu/Baba yake alikuwa tajiri sana!! Mimi ndio nikamkumbusha kuhusu Quality Garage kama anajua historia yake.
Wewe unamawazo ya kimaskini sana ya kuombea tajiri afilisiki muwe sawa, nimekuuliza swali makosa anashitakiwa Manji yanahusiana na ufisadi wa kampuni ya Quality group au ni chuki zake na Manji? majibu huna umebaki na ushabiki wa kishamba.
 
Hivi kweli anashitakiwa kwa Kesi ya mkojoooo au Sizonje ana mkono hapo?
 
Ni ccm au ni sheria!?

Ulivyo andika hivi tunaonekana wote tusioiunga mkono ccm ni hovyo.
CCM ndo kirusi cha matatizo yote katika nchi hii. Huyo Manji hakuna lolote hapo serikali ya ccm wanataka kummaliza kwa sababu wanazozijua wao.
 
Mmekuwa mkilalamika kwa mda mrefu kwamba sisiemu inashughulika na dagaa 2. Sasa imeanza kuwashughulikua mapapa tena mnalalamika. Kweli nyie ni wapinzani.
vita ya ufisadi ni fiction tu. mbona hamjikamati nyie wenyewe mnajiogopa?
 
Nikikumbuka zile mil 750 zilizokuwa kwenye begi kuelekea kwenye mkutano mkuu wa ccm kipindi cha tano bora...naona kuna kama kukomoana tu hapa. Ni muda tu utaongea, maana hakuna upande ulimsafi kiasi cha kupelekana puta namna hii.
 
Banyani au ni Baniani?! Kiswahili cha wapi hiki mnaandika madogo now days......?!

Utakuta mwengine anaandika neno kadhana badala ya kazana....au kazia badala ya kadhia

SONY Xperia Z5 Premium

Umekuja sahihisha kiswahili humu au kuchangia mada?? Masahihisho mwachieni FF ndo mbobevu. We soma changizo tu
 
Back
Top Bottom