Video: Manji anahuzunisha, anataka kulia

Video: Manji anahuzunisha, anataka kulia

Korea kusini wamemtia hatiani bosi wa sumsang nkajiuliza uku bongo ukimshitaki maji eti ni visasi, husipomshitaki eti serikali inabagua daaa
Ya manji na huko korea kusini haina uhusiano kabsa huko wakifanya jambo linakuwa na Ukweli lakini Tanzania kesi nyingi ni za kukomoana visasi na uonevu mwingi. Magufuli alishasema anataka matajiri wa Tanzania waishi kama mashetani na watanzania masikini wamekariri wakiamini tajiri akiumia wao ipo siku watakuwa matajiri kwa magufuli kuwagawia anachokichukua kwao.
 
Hata Manji simfaham ila najua ni banyani tu. Au ndg zake ni hao askari jela mkuu??
Banyani au ni Baniani?! Kiswahili cha wapi hiki mnaandika madogo now days......?!

Utakuta mwengine anaandika neno kadhana badala ya kazana....au kazia badala ya kadhia

SONY Xperia Z5 Premium
 
Ya manji na huko korea kusini haina uhusiano kabsa huko wakifanya jambo linakuwa na Ukweli lakini Tanzania kesi nyingi ni za kukomoana visasi na uonevu mwingi. Magufuli alishasema anataka matajiri wa Tanzania waishi kama mashetani na watanzania masikini wamekariri wakiamini tajiri akiumia wao ipo siku watakuwa matajiri kwa magufuli kuwagawia anachokichukua kwao.
Eventually everyones prayers are replied in time.

SONY Xperia Z5 Premium
 
Nakumbuka manji alienda central na mawakili 6 inakuaje anamwaga chozi?
Ajikaze tu,ndio uanaume dunia duara
Achaaa anyooshwee, alimkataa kibatara kuwa wakili wake!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Leo JPM kaonekana akilialia kuhusu mikataba ya ''kijinga na kishenzi'' iliyosainiwa na wanaCCM wenzie, ambao almost wote bado wapo hai, kicking and enjoying free oxygen mtaani. Hawagusiki. Ile siku akima Mruma wanasoma report yao ya Makinikia part2, kwa mbwembwe na jazba kubwa, JPM aliagiza wote waliotajwa wakamatwe na kuhojiwa. Mpaka leo, wapo nje wanadunda kwa raha zao.

Huyu inasemekana eti kuna jora za sare za jeshi letu tukufu zilikutwa kwenye godown anayoimiliki (sio chumbani kwake) as well as sample ya mihuri ya jeshi kukutwa ofisini. Kesi ni uhujumu uchumi!. Waliohujuma uchumi wetu mpaka sasa Bombardier ipo korokoroni nao vipi? Hao wa makinikia na hao wa mikataba ya TANESCO inayohujumu uchumi nao vipi?
 
Korea kusini wamemtia hatiani bosi wa sumsang nkajiuliza uku bongo ukimshitaki maji eti ni visasi, husipomshitaki eti serikali inabagua daaa
Tatizo kesi ya Manji haijulikani.....!!

Mara madawa Mara uhujumu uchumi!!
 
Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho. MANJI hakika tunakuombea
 
Pole bana wewe una pesa wenzio wana madaraka ya KULEVYA lazma unye...
 
Back
Top Bottom