goggles
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,415
- 2,358
Waharifu wote kwa awamu hii ni marafiki wa cdm.CCM hawampendi sababu ya utajiri wa babu yake ndiyo maana wanamtesa wanavyotaka wao.

Waharifu wote kwa awamu hii ni marafiki wa cdm.CCM hawampendi sababu ya utajiri wa babu yake ndiyo maana wanamtesa wanavyotaka wao.

Mmekuwa mkilalamika kwa mda mrefu kwamba sisiemu inashughulika na dagaa 2. Sasa imeanza kuwashughulikua mapapa tena mnalalamika. Kweli nyie ni wapinzani.CCM acheni manyanyaso duniani tunapita tu
CCM hawampendi sababu ya utajiri wa babu yake ndiyo maana wanamtesa wanavyotaka wao.
Ukiona jitu linafurahia kushitakiwa kwa Manji hilo ni punguani limejaa wivu rohoni!! Huu siyo Ukristu haki ya nani! Hebu watu tuache visasi,, yaani kuambiwa tu siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa ndo ulipize visasi namna hiyo? Mungu hapendagi ujinga, watu watakufa vibaya sana!!Ukimuona mtu analalamika kuhusu kushitakiwa kwa Manji, tambua kuwa ana akili ya mkopo.
Ukiona jitu linafurahia kushitakiwa kwa Manji hilo ni punguani limejaa wivu rohoni!! Huu siyo Ukristu haki ya nani! Hebu watu tuache visasi,, yaani kuambiwa tu siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa ndo ulipize visasi namna hiyo? Mungu hapendagi ujinga, watu watakufa vibaya sana!!
Hakuna atakayeishi madarakani milele yote! Kulikuwa na enzi za akina Mkapa lakini zilipita,, na hii nayo itapita tu!!Your brain might has some problem.
Hivi unaifuatilia vizuri kesi ya Manji..au unafuatilia ushabiki?
Is there any part that suit Manji for insulting?
Jamii ya watu kama nyinyi ndiyo mnaofanya mpaka leo ccm inaendelea kutusumbua.
Siyo ccm bali ni mjomba. Sisi tunampenda sana amekuwa mwokozi wetu kwa mambo mengi. Alituokoa wkt wa kagoda agricultural alitulipia 40bln cash. Huyu jamaa hayajui haya na hata kama angekuwa anajua hana shukurani kbsCCM hawampendi sababu ya utajiri wa babu yake ndiyo maana wanamtesa wanavyotaka wao.
Ndiyo ccm ilivyo!!Nakumbuka manji alienda central na mawakili 6 inakuaje anamwaga chozi?
Ajikaze tu,ndio uanaume dunia duara
Angalia hizo picha muonekano wake...
Visasi at workSiyo ccm bali ni mjomba. Sisi tunampenda sana amekuwa mwokozi wetu kwa mambo mengi. Alituokoa wkt wa kagoda agricultural alitulipia 40bln cash. Huyu jamaa hayajui haya na hata kama angekuwa anajua hana shukurani kbs
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshitakiwa kwa ufisadi wa Qwality Garage au ameshitakiwa kwa madawa ya kulevya?Mnazungumza vitu gani hapa lakini? - Hivi unajua vizuri historia ya Quality Garage? Mbinu za kumanipulate Mashirika ya UMMA hazikuanza leo tangu utawala wa awamu ya kwanza!!!
mafisadi acheni mnyanyaso dunia hii tunapita tuCCM acheni manyanyaso duniani tunapita tu
Shida nn..km kweli una kengele 2 andika bango kesho asbh ucmame samora manji anaonewa..itafaa kuliko kujamba jamba hapa mkia umeingiza m.at.akoniAmeshitakiwa kwa ufisadi wa Qwality Garage au ameshitakiwa kwa madawa ya kulevya?
Umri wako na matendo yako haviendani hata kidogo.Shida nn..km kweli una kengele 2 andika bango kesho asbh ucmame samora manji anaonewa..itafaa kuliko kujamba jamba hapa mkia umeingiza m.at.akoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Babu mzima unaandika matusi?Shida nn..km kweli una kengele 2 andika bango kesho asbh ucmame samora manji anaonewa..itafaa kuliko kujamba jamba hapa mkia umeingiza m.at.akoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshitakiwa kwa ufisadi wa Qwality Garage au ameshitakiwa kwa madawa ya kulevya?
Tazama hii video.....
Manji jikaze kaka