Video: Manji anahuzunisha, anataka kulia

Video: Manji anahuzunisha, anataka kulia

Akitaka kuokoka hii kesi basi aukatae Utanzania na abakie na passport ya Canada ama UK. Hapo atatetewa na wenyewe kama ni raia wao!
 
Korea kusini wamemtia hatiani bosi wa sumsang nkajiuliza uku bongo ukimshitaki maji eti ni visasi, husipomshitaki eti serikali inabagua daaa
but kwa kesi gani?. kesi za manji unaziona zipo sawa na za boss wa sumsang. issue siyo kushitakiwa but mazingira na aina ya kesi zake ndiyo tatizo
 
Korea kusini wamemtia hatiani bosi wa sumsang nkajiuliza uku bongo ukimshitaki maji eti ni visasi, husipomshitaki eti serikali inabagua daaa
Sisi Watanzania tunaongoza kwa Unafiki wa kiwango cha SGR mkuu. Jamaa wa Samsung amehukumiwa kwenda jela miaka 5. Suala la Manji hawa hawa watetezi wake ndio walikuwa vinara wa kuibua mambo yake ya kifisadi kipindi cha nyuma. Leo hii sheria zinachukua mkondo wake wanasema anaonewa kwa visasi! Dah!
 
Kumbuka huyu ni diwani wa ccm Mbagala!?

Kweli nimeamini siyo wapinzani wote wanafaham wanachopinga.
CCM ndo kirusi cha matatizo yote katika nchi hii. Huyo Manji hakuna lolote hapo serikali ya ccm wanataka kummaliza kwa sababu wanazozijua wao.
 
We Bashite unajua hoja gani?
Bashite alimwambia aripoti Polisi Ijumaa yeye akakaidi akaenda Jtano. Tangu hiyo Jtano hajawahi kuwa guru hadi Leo. Ile sura yake nzuri imepotea Maskini!
 
Kumbuka huyu ni diwani wa ccm Mbagala!?

Kweli nimeamini siyo wapinzani wote wanafaham wanachopinga.
tena hapa mipango mlionayo ni kuhakikisha anaikosa hata hiyo nafasi ya udiwani ili muweze kumshughulikia vizuri. chuki na visasi ni kitu mbaya sana.
 
Back
Top Bottom