Dah! Mkuu umetoa hoja moja nzito sana.. Hata mkewe haonekani? Hata watoto wake hawaonekani? He has been left all alone na wale waliofaidi jasho lake!
Kumbe wengi weshaliona hilo?? Huruma jamani iwepo
Dah! Mkuu umetoa hoja moja nzito sana.. Hata mkewe haonekani? Hata watoto wake hawaonekani? He has been left all alone na wale waliofaidi jasho lake!
Unawafahamu ndugu zake wote?
Wala ya magwanda ya jeshi!! Hapa ni mwendo wa kuchomeka na kuchomoa! Kwa hili la Manji Nipo tayari kupimwa mkojo! Huyu ni mmoja wao! Na naamini kuwa hukumu anayoipata ni kwa mujibu wa viapo vyao!njia yao ni tofauti na njia zetu! Namhurumia sawa tu na ninavyomhurumia chui mfu anayetafunwa na kundi la tai(vulture?) japo wote ni wala nyama(cannibals)Bora wamfunge sasa maana ile kesi ya passport 3 haisikiki tena zinasikika za mikojo na kuhujumu uchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inafika kipindi hujui kipi ni kipi kesi ya khajiba huyoWala ya magwanda ya jeshi!! Hapa ni mwendo wa kuchomeka na kuchomoa! Kwa hili la Manji Nipo tayari kupimwa mkojo! Huyu ni mmoja wao! Na naamini kuwa hukumu anayoipata ni kwa mujibu wa viapo vyao!njia yao ni tofauti na njia zetu! Namhurumia sawa tu na ninavyomhurumia chui mfu anayetafunwa na kundi la tai(vulture?) japo wote ni wala nyama(cannibals)
Akamuulize babu seya!anajuta mbwa kuwa boss, pole sana manji. mjuba kakung'ang'ania si mchezo.
Ndiyo nini hiyo mkuu?
CCM acheni manyanyaso duniani tunapita tuKuhusu hili unatoa maoni gani mwanzisha mada?
Tazama hii video.....
CCM acheni manyanyaso duniani tunapita tu
Poor youCCM hawampendi sababu ya utajiri wa babu yake ndiyo maana wanamtesa wanavyotaka wao.
Korea kusini wamemtia hatiani bosi wa sumsang nkajiuliza uku bongo ukimshitaki maji eti ni visasi, husipomshitaki eti serikali inabagua daaa
jamaa anafikiri babu za watu walikuwa wanawinda ndege kama babu yakeNimasikini kama babu yako! upo?
Ccm mlivyo na roho mbaya hv hamkawii kuwapa kesi ya uraia, si kwamba hawataki kuja bali wanaogopa;ccm inainyanyasa sana familia ya manjiDah! Mkuu umetoa hoja moja nzito sana.. Hata mkewe haonekani? Hata watoto wake hawaonekani? He has been left all alone na wale waliofaidi jasho lake!
Still(?)
Boss wa samsung hajanyanyaswa kabisa..usifananishe kule na hukuKorea kusini wamemtia hatiani bosi wa sumsang nkajiuliza uku bongo ukimshitaki maji eti ni visasi, husipomshitaki eti serikali inabagua daaa