Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,202
- 138,575
Tazama hii video.....
Manji jikaze kaka
Uo utajiri umeuona au watu wakisema na ww unafata mkumbo tu,CCM hawampendi sababu ya utajiri wa babu yake ndiyo maana wanamtesa wanavyotaka wao.
Mwanzo wake ulikuwa ni 'ule' na mwisho wake ndiyo 'Huu'.pole yake!! but hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho
Nimasikini kama babu yako! upo?Uo utajiri umeuona au watu wakisema na ww unafata mkumbo tu,
Jibu hoja sio kutoa povuNimasikini kama babu yako! upo?
We Bashite unajua hoja gani?Jibu hoja sio kutoa povu
CCM hawampendi sababu ya utajiri wa babu yake ndiyo maana wanamtesa wanavyotaka wao.
Dah! Mkuu umetoa hoja moja nzito sana.. Hata mkewe haonekani? Hata watoto wake hawaonekani? He has been left all alone na wale waliofaidi jasho lake!Weye umewaona tu ccm?? Nioneshe banyani yeyote ambaye amewahi hudhuria kwenye kesi hii hata siku moja, Je, hana ndugu??
Unawafahamu ndugu zake wote?Weye umewaona tu ccm?? Nioneshe banyani yeyote ambaye amewahi hudhuria kwenye kesi hii hata siku moja, Je, hana ndugu??