Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,047
- 20,411
Hiyo mikoa kawaida movie za hivyo na zile za kinamkojani, sema wawe wanapunguza sautikuna siku nlikuw natoka mtwara naelekea dar na tulikuwa tukiangalia movie iitwayo "what happen to Monday" sasa kuna scene moja daah.... ππ
kwenye sauti nilisha wahi kulalamika lakini wapi....Hiyo mikoa kawaida movie za hivyo na zile za kinamkojani, sema wawe wanapunguza sauti
Aiseee .. hatariKuna wakati kitambo kidogo nlipanda basi moja kwenda moro
Jamaa waliweka cd kuweka kuiplay kumbe cd ile ilikuwa ya mikasi
Yale makelele ya ahh ahh ohh ohh
Watu ndani wacha wapige kelele
Abiria wengine wanasema yesu wangu,wengine astakafulahi
Konda wacha aanze kutetemeka kuitoa
Ova
Kuna wakati kitambo kidogo nlipanda basi moja kwenda moro
Jamaa waliweka cd kuweka kuiplay kumbe cd ile ilikuwa ya mikasi
Yale makelele ya ahh ahh ohh ohh
Watu ndani wacha wapige kelele
Abiria wengine wanasema yesu wangu,wengine astakafulahi
Konda wacha aanze kutetemeka kuitoa
Ova
So sad, tunahitaji usimamizi wa hali ya juu kimaadili, japo najua zaidi ya nusu ya abiria wangetaka mikasi iendelee.Kuna wakati kitambo kidogo nlipanda basi moja kwenda moro.
Jamaa waliweka cd kuweka kuiplay kumbe cd ile ilikuwa ya mikasi.
Yale makelele ya ahh ahh ohh ohh.
Watu ndani wacha wapige kelele.
Abiria wengine wanasema yesu wangu,wengine astakafulahi.
Konda wacha aanze kutetemeka kuitoa
Ova