Video: Kumbe ukosefu wa makalio makubwa unawafanya wanawake wasijikubali

ndio ya baba kwani kuna tatizo.?
Wakukatisha tamaa hutawakosa watu wanapenda wanawake wa aina mbalimbali kwa uzoefu wangu.
Akisema ww mbaya wapo wengine wanaokutaman...
Wa umbo, rangi au kabila flani wapo wanaotaka wakat wengine hawatak
Mkielewa saikolojia ya wanaume wala hamtasilikiza hizi shombo.
 
Hahah huyo wa sponge pole ake maana lazima akubali kuvua nguo gizani tuu,...ila wangejua kuwa hawa viumbe hawajui wakitakacho waketulia tuu na flat zao.....maisha ni "simpo sana".
Kila mtu ana choice yake tatizo mnapenda mpendwe na kila mwanaume anaepita mbele yenu... hapo ndo mnapokosea
 
kitu tako..msambwanda..buzuki ya moto..kitonga..ayo yote ni majina yake....demu akisimama inatakiwa ajulikane nyuma wap mbele wap..sio unamkonyeza ukijua anakuangalia kumbe kakupa mgongo
 
Kila mtu ana choice yake tatizo mnapenda mpendwe na kila mwanaume anaepita mbele yenu... hapo ndo mnapokosea
Katika maisha sio kila kitu lazima uwe nacho au umiliki,vingine lazima ukubali kuvikosa tuu,hao wahivyo hawajielewi na kujitambua ndio maana nikaandika "maisha simpo sana" ukijua unachokitaka.....ila kila mtu na "hulka" yake.

Good morning great thinker.
 
We ji make up ,weka kucha rangi , weka wigi na usaka nwingine cc tunatazama wowowoooooooi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom