Video: Kova azungumzia sakata la Jerry Muro

Now I begin to realize that the police work is too big to be left to the school failures and drop-outs!
 

Kaka acha mahakama ifanye kazi yake, hayo mawazo angetoa maamuma tungeelewa, mbona mapema sana kuanza kumuhukumu Jerry, au na wewe ndio walewale.
 

Tusubiri ukweli utajulikana, kwani wewe huwezi kuwekewa maiti kwenye buti ya gari lako, kisu na damu then wakapiga simu police ukakamatwa ?hakuna kitu kinachoshindikana bongo hii - sasa we subiri kesi iende mahakamani ndo utajua ukweli wote, usiongee kama mtu wa kijiweni hapa JF.
 
KOVA kchemsha, nadhani walioko chini yake wamemdanganya kama Zombe alivyodanganywa wakati ule, Jerry alituhumiwa kupokea rushwa kubwaaaa, sasa suala si rushwa tena ni pingu, mwe KOVA give us a break!!!!!!!!!!!

Pingu zinapatikana na zinauzwa kwa maduka yauzayo siraha asitake kutudanganya hapa huyo Kova, Last year my step father alinunu siraha na pingu kule arusha na akaja nazo Shinyanga sasa leo hii amegeuza kuwa pingu hovyo kabisa na ndio maana nkasema kuwepo na mtoa habari maarumu wa police ambye atakuwa ameisha ichambua habari na kujua jinsi ya kuitoa kwa wananchi na sio anazani ni fashion kutokea kwa runinga.

 
Kama hamjawahi kuona mtu anaongopa, anajikanyaga, ni Muro wa jana usiku kwenye kipindi alichokiasisi yeye mwenyewe. Kashfa hii labda izimwe kisiasa tu.

Mpwa ebu tuelezee sie tulio kuwa mbali na runinga turichelewa kukiona kipindi cha Usiku wa Habari! alijikanyaga vipi?? mwagaaaa hapa chini izo newsssss

 
jamani angalieni Jerry video michuzi blog utaanza jua ukweli uko wapi
Chunguza mjomba utabaini?
 

Hahahaha umenikumbusha mbali sana! Nilikuwa likizo nikaamua kufurahia nchi yangu kuendesha toka Dar hadi Mwanza, mpaka kufika Morogoro nilikuwa nimesimamishwa kama mara 6 hivi na traffic, kama kawaida yao hawana issue, ninawaachia 5000 naendelea! Baadaye nikamuua kutosimama jamaa wakipiga mkono nawaashia spot light! Nilitegemea labda wakati wakurudi nitaipata walaaaa dawa yao wakikusimamamisha na hakuna kizuizi wewe pita tu....Polisi wetu walio wengi ni vituko....school dropouts !
 

Ntakuitia TAKUKURU na wewe (au ikishindikana Kova hata yeye anahusu)
 

mkuu kakubali ni vyake na anavimiliki miaka minne sasa!!!!!>
 

mbona hamuelewi?hajambambikiziwa tuache ushabiki na kufagilia hata kama mtu anaonekana ana makosa,hata hivyotusubiri mahakama,na kova anatoa ufafanuzi zaidi leo mchana tusubiri haya malumbano na ndio utapima nani anaongea ukweli,ila nashauri mtu yeyote anapokosea tumrekebishe hapahapa jamvini tusiwe na ushabiki tu eti kisa mtu ni ripota mashuhuri,huwezi jua upande wa pili wa shilingi.
 
Bongo kuanzia prezidaa, kamanda wa polisi wa mkoa, mpaka muandishi wa habari, wote wachovu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…