Video: Kikwete akimpigia chapuo Dkt. Fatma mbele ya Rais Samia

Video: Kikwete akimpigia chapuo Dkt. Fatma mbele ya Rais Samia

Teu... inaendelea
Mwenye haki ataishi kwa imani
 
Safi sana mjeshi kanali kikwete, yule mkuu wa kambi wa monduli hatakusahau yaliyomkuta
 
Yani kiamri kabisa "kampe mkono Rais" hata neno mheshimiwa halijawekwa kweli kazi ipo mwehu akikuzoea atakufuata hata chumbani
 
JK anamuamuru Dkt Fatma kwenda kumpa mkono Rais, impliedly anamuamuru Rais kumpa mkono Dkt. Fatma, na Rais anakubali agizo hilo. Technically, anayetoa amri kwa Rais ndio Rais.
 
JK anamuamuru Dkt Fatma kwenda kumpa mkono Rais, impliedly anamuamuru Rais kumpa mkono Dkt. Fatma, na Rais anakubali agizo hilo. Technically, anayetoa amri kwa Rais ndio Rais.
Hii imenishangaza kidogo, imekuwa kama yeye ndio rais halafu rais ni waziri wake.
Kwa ukubwa wa mstaafu na uwezo wake, hapo amekosea, japo watasema tunanongwa!
​
 
Bush sijui kajichimbia wapi au alishagakufa?
Bush wapo Wawili Kuna Bush 41 na Bush 43
Yani baba na Mwana wote wamekuwa Marais wa Marekani Mmoja akiwa Rais wa 41 na mwingine 43

Bush Senior ndio amefariki mwaka Jana ila Bush JR ambae ndio Ali hit sana Bado yupo Hai

George H Bush mwamba sana
 
Yani kiamri kabisa "kampe mkono Rais" hata neno mheshimiwa halijawekwa kweli kazi ipo mwehu akikuzoea atakufuata hata chumbani
Jamaa sijui kwanini hata anaendelea Kuwepo kwenye izo Platforms za Kisiasa, Ukisha staafu kwanini usikae pembeni Kumpa Uhuru Rais aliyepo atawale vizuri
 

Attachments

  • 1766758575007.jpg
    1766758575007.jpg
    104.5 KB · Views: 14
Kaongea kimamlaka mno kuliki hata mwenye mamlaka yake

“Kamsalimie Rais”
Hii kauli kwa hapa Tanzania kwenye hadhara ya watu wengi wanaweza wakaitoa watu wawili tu, JK na Bashite tu.
 
Sema tu watanzania hatuna utamaduni wa kupima afya ya akili.
Huyu mzee anaweza kuwa na tatizo la afya ya akili.
 
Back
Top Bottom