Umekwisha saliti amri mbele ya joto ya wana Kigoma.hakuna kwenye iyo video walipozomewa ao ulio wataja.umejilekodi mwenyewe ukizomea tena ata aliyekuwa anaongea sio kati ya ao ulio wataja.inshort umezomea wewe na siyo hadhira yote
Umekwisha saliti amri mbele ya joto ya wana Kigoma.hakuna kwenye iyo video walipozomewa ao ulio wataja.umejilekodi mwenyewe ukizomea tena ata aliyekuwa anaongea sio kati ya ao ulio wataja.inshort umezomea wewe na siyo hadhira yote
Safi sana Wana Kigoma, endeleeni kuwaonyesha Ukawa kuwa Kigoma sio wafuata Mkumbo
Nenda zako wewe usie na ushahi wa facts. People who are informed like me, we use infallible facts. It can't be better than that dude.Si bure wewe jamaa unanitafutia BAN. Najua ulijiunga JF mwaka huu ili utimize propaganda zako Mfu ... Naona naanza kukosa uvumilivu na hizi siasa zako uchwara.
Mchezo wa siasa ni mbaya sana. Si kama mpira wa miguu. Ukiteleza kidogo tu basi unapoteza wapiga kura wengi sana. Kafulila kujifanya mjuaji ndo kumemponza. Jeuri na kiburi kitakatisha ndoto yake ya kutetea ubunge wake
Unamuona rais anapita heshima yake????[h=2]CHADEMA, LOWASSA, MBOWE WAZOMEWA KIGOMA[/h]
Mkutano Kigoma ambao Kafurila, Mbowe na Lowassa walizomewa, ajabu Lowassa kahutubia dakika 2, hapa ndiko watu wakaupuuza mkutano, Mbowe baada ya kuona hivyo alisema anamheshim Zitto sana, wakat ni hasimu wake, watu wakamzomea.
Video Link hii hapa chini:
https://video-lga1-1.xx.fbcdn.net/hv...c2&oe=55EAE335
Ni kweli kabisa, lakini pia ameingia kwenye tatizo la kumkubali fisadi wakati yy alijipambanua kushugulikia mafisadi, na imempatia wakati mgumu sana kusemea jambo hilo.
Maajabu:Mpinga ufisadi ananadiwa na FISADI LOWASSA....
Safi sana Wana Kigoma, endeleeni kuwaonyesha Ukawa kuwa Kigoma sio wafuata Mkumbo
We si ajabu ni wale mahayawani, mnazomewa na Lowasa wenu Kigoma halafu unasema Lowasa anaongoza.Mda wa kuchimba dawa na kunywa maji kwa magamba unaisha kesho, safari iko pale pale Captain Lowasa anaongoza. Maccm mlipata kaupepo, kanafifia sasa.
We si ajabu ni wale mahayawani, mnazomewa na Lowasa wenu Kigoma halafu unasema Lowasa anaongoza.
Inabidi mpimwe akili.