VIDEO: Kafulila azomewa na kushushwa jukwaani, Kigoma

VIDEO: Kafulila azomewa na kushushwa jukwaani, Kigoma

Kafulila- amefulia

ngo chigoma na kasulu ; hatumtaki, yeye ni dasilamu; anajiita brother k

anamutukana zitto; muulize mzihili yupo watu.

Mwami zitto; kafulila alawese ; act yamukubita
 
nimeangalia hiyo video huo aliyekuwa anajirekodi yeye na wenzake kama wawili ndio walikua wanaropoka huku wakionesha alama ya act, nahisi ni vijana wa ayatora walienda kwa lengo maalum!

msumari...................................unachoma wapi.....................
 
Baada ya hapo mtu Rais wa .......akaongea dakika 2 huyoo akasepa.. Mh
 
bayumiJR videolink uliyoweka na maelezo unayotoa haviendani. isitoshe tulikuwepo na hatukushuhudia akizomewa lakini wala media zote mpaka za kielektroniki hazikushuhudia wala kuripoti. leo wewe bayumiJR pekee, wewe tu uwe umeona tukio na kulirusha jamvini...acha urongo na utungaji....DZK bado atakuwa mbunge tu kama wewe ni mpinzani wake andika maumivu.
DAVID ZACHARIA KAFULILA mbunge kijana wa Jimbo la Kigoma Kusini kwa tiketi ya Chama Cha NCCR- Mageuzi ambae alipata umaarufu mkubwa katika siku za hivi karibuni baada ya kufichua Ufisadi mkubwa wa Escrow na kupelekea Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji fredrick werema kung'oka na Serikali kuyumba amepata aibu ya Mwaka akiwa nyumbani kwao Kigoma.

LABDA ni kulewa Umaarufu, ama labda ni kukosa ukomavu na ujana, Mbunge huyo machachali alisimama kwenye jukwaa akihutubia na kuwaambia watu wa kigoma kuwa hawana Haja ya kuanzisha Chama Cha Siasa, kama wanahamu ya kuanzisha Chama wanaweza kuanzisha Chama Cha MAWESE na MICHIKICHI.

Baada ya Kauli hiyo ya Kafulila, Maelfu ya wananchi waliojitokeza Mkutano hapo waliona wamedharauliwa na kukejeliwa na Mbunge wao huyo na walianza kuzomea na kumwambia kuwa UKAWA hawana chao Kigoma, jambo lililomfanya kafulila kushindwa kuongea na kushuka jukwaani.

Hii hapa ni link ya VIDEO:
https://video.xx.fbcdn.net/hvideo-x...=e049af72ae9800b096aa52bb41b26e9a&oe=55EAE3FC
 
CHADEMA, LOWASSA, MBOWE WAZOMEWA KIGOMA



Mkutano Kigoma ambao Kafurila, Mbowe na Lowassa walizomewa, ajabu Lowassa kahutubia dakika 2, hapa ndiko watu wakaupuuza mkutano, Mbowe baada ya kuona hivyo alisema anamheshim Zitto sana, wakat ni hasimu wake, watu wakamzomea.

Video Link hii hapa chini:

https://video-lga1-1.xx.fbcdn.net/h...=fb35078d07befeb98524821ddae1edc2&oe=55EAE335

SANA TU ;
LAAANA YA ZITTO; NA WATANZANIA , KUMKUMBATIA FISADI
ActKwNBQAkTqAAAAAElFTkSuQmCC
 
Hiyo ni kawaida kwenye siasa, hata magufuli Mbeya ilibidi aweke alama ya V.
 
Ukiwa muongo jihadhari na video kwani hata mtoto hatosadiki ulichokiandika na kinachoonekana.Acha ushabiki wa kijinga kwani hakuna uhalisia na ulichosema.
Video huwa haidanganyi, utatoka povu lakini habari ndio hiyo.
 
Invisible hivi huyu mtu mnamchukuliaje kupost thread mbili zenye maudhui yale yale,hii ni kutuchafuria jukwaa la magreat thinkers.
 
Last edited by a moderator:
maajabu fisadi ibrahim mgaya anadaka maneno kama kasuku na kuyaropoka tu. kama wewe ukiambiwa ni mliwati halafu wewe na watu walioambiwa wakanyamaza kwa sababu hawana idhibati haina maana kwamba wewe ni mliwati. ina maana kuwa yule aliyesema wewe ni mliwati hajawatosheleza kwa ushahidi wa madai yake. vivyo hivyo ukiitwa fisadi na wewe huna silika hiyo, husumbuki kujibizana na wanaokuita fisadi bali unaendelea na shughuli zako kama kawaida. na kama waliokuita fisadi hawachukui hatua zozote ina maana ni warongo na wazushi hawana ushahidi . kwa hiyo fisadi ibrahim mgaya tafakari, tanzania bila ccm inawezekana, ndio maana unaona mwamko wa watu na hawaji kwa ushabiki bali wanakuja kuonyesha mshikamano..
Maajabu:Mpinga ufisadi ananadiwa na FISADI LOWASSA....
 
hakuna kwenye iyo video walipozomewa ao ulio wataja.umejilekodi mwenyewe ukizomea tena ata aliyekuwa anaongea sio kati ya ao ulio wataja.inshort umezomea wewe na siyo hadhira yote

Jamani kiswahili chetu jamani. Kila sentensi kuna neno lisilo sahihi. Tunaenda wapi vijana? ..iyo..au hiyo? ao au hao? Jilekodi au jirekodi? Hadhira au Hadhara? Inshort au in short? My God! Mabadiliko haya yasije yakabadilisha na lugha yetu jamani!!!!!
 
Si bure wewe jamaa unanitafutia BAN. Najua ulijiunga JF mwaka huu ili utimize propaganda zako Mfu ... Naona naanza kukosa uvumilivu na hizi siasa zako uchwara.
 
Back
Top Bottom