Nimesikia hii nikashangaa sana, aliyekuita tumbili hakukosea. Mheshimiwa Kafulila unawezaje kuwatukana wapiga kura wako kwa tusi kubwa namna hii? Siku ya ujio wa Edward Lowassa mkoani Kigoma, ulipewa dakika kadhaa kuongea, ulichokisema sikuamini kama ni wewe,
"ETI WANANCHI WA KIGOMA HAWANA UWEZO WA KUANZISHA CHAMA CHA SIASA, LABDA CHAMA CHA KUUZA MAFUTA YA MAWESE".
Ukweli umewadhalilisha watu wa mkoa wako. Kwani ni watu gani wenye uwezo wa kuanzisha chama? Ndiyo maana unafukuzwa kila chama uendacho, ulifukuzwa CHADEMA, ukafukuzwa NCCR ukakimbilia mahakamani na baadae ukampigia magoti Mh. Mbatia.
Ukweli ujitafakari, wananchi wa jimbo lake mpeni adhabu huyu mtu, mtalipwa na Mwenyezi MUNGU.