VIDEO: Kafulila azomewa na kushushwa jukwaani, Kigoma

VIDEO: Kafulila azomewa na kushushwa jukwaani, Kigoma

DAVID ZACHARIA KAFULILA mbunge kijana wa Jimbo la Kigoma Kusini kwa tiketi ya Chama Cha NCCR- Mageuzi ambae alipata umaarufu mkubwa katika siku za hivi karibuni baada ya kufichua Ufisadi mkubwa wa Escrow na kupelekea Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji fredrick werema kung'oka na Serikali kuyumba amepata aibu ya Mwaka akiwa nyumbani kwao Kigoma.

LABDA ni kulewa Umaarufu, ama labda ni kukosa ukomavu na ujana, Mbunge huyo machachali alisimama kwenye jukwaa akihutubia na kuwaambia watu wa kigoma kuwa hawana Haja ya kuanzisha Chama Cha Siasa, kama wanahamu ya kuanzisha Chama wanaweza kuanzisha Chama Cha MAWESE na MICHIKICHI.

Baada ya Kauli hiyo ya Kafulila, Maelfu ya wananchi waliojitokeza Mkutano hapo waliona wamedharauliwa na kukejeliwa na Mbunge wao huyo na walianza kuzomea na kumwambia kuwa UKAWA hawana chao Kigoma, jambo lililomfanya kafulila kushindwa kuongea na kushuka jukwaani.

UTAJUTIA KAULI YAKO!
 
Wakigoma mkimwacha Kafulila mtashangaza sana.! Huyo ni mtetezi wa wananchi na si Kigoma tu ni nchi nzima
Acheni ushabiki wa kuchochewa
 
ccm mbona mnahangaika sana ukawa wanawanyima usingizi kweli kweli tulieni mwaka ujao mtakua chama cha upinzani
 
Masisiem yatapaniki sana kipindi hiki lakini UKAWA tunazidi kusonga mbele umbea na unafiki peleka huko ccm
 
Mbona naona washangiliaji tu? Hao wazomeaji wako wapi?

Haya masisiem yameshanganyikiwa kabisa wanahangaika na habari za UKAWA kuliko za ccm ni inaonyesha kiasi gani UKAWA inawatesa ccm .
Tanzania mpya inakuja chini utawala wa raisi mtarajiwa Edward Lowasa.
 
CHADEMA, LOWASSA, MBOWE WAZOMEWA KIGOMA



Mkutano Kigoma ambao Kafurila, Mbowe na Lowassa walizomewa, ajabu Lowassa kahutubia dakika 2, hapa ndiko watu wakaupuuza mkutano, Mbowe baada ya kuona hivyo alisema anamheshim Zitto sana, wakat ni hasimu wake, watu wakamzomea.

Video Link hii hapa chini:

https://video-lga1-1.xx.fbcdn.net/hv...c2&oe=55EAE335

Mr chin..the great thinker...the propagandist. .one of them..the hero..hayo yote yako tu mkuu...hivi ukiandika ushuzi kama huo tuupokee tu kama mazombie? ..camoon..man be serious. .wajinga flani wanajirekodi na kupiga selfie ndo hao zomea zomea?..angalia ya songea..rais wenu nani....uwanja wa taifa leo....oops..ulisikia kipigo walichokipata vijana wenu waliojifanya kuwa ni wa chadema eti wanamuunga mkono dr mihogo slaa..mtajuta mwaka kuu..wengine wajiandae kuikimbia nchi!
 
Tena kafulila mpuzi sana najua atapita hapa kuna binadam jimboni kwake tangu uchaguzi wa 2010 Hawajawai kumuona kule, anakoishia ni kwao nguruka,kazuramimba,uvinza, kusini ya mwambao wa ziwa kama hawatambui, NABADO VIJANA WANAKUSUBILIA KULE

Mkuu alisema kule hawakumchagua kwahiyo Hana haja ya kwenda
 
Kafulila anakubalika sana kigoma kusini wala,tena mwaka huu ccm wamemuweka mama,kura zote tunampa kafulila
 
Kafulila anakubalika sana kigoma kusini wala,tena mwaka huu ccm wamemuweka mama,kura zote tunampa kafulila

Wew unakaa wapi mbona hauelewki ,umesahau kuwa kura ni moja tu ,na sio mbili
 
ACT na CCM bhanaaaaaaa!!!! Wanajitekenya wenyewe halafu wanacheka, kisha wanajirekodi video na kuileta hapa na kufikiri wamepata kete ya kuzuia mabadiliko!!!!!????? Hakuna kitu hapa!!!! Lowassa ndiye Rais wetu, iwe jua iwe mvua!!!!!

nilikuwepo toka asubuh mpaka jion hakuna aliye zomea
 
Back
Top Bottom