VIDEO: Kafulila azomewa na kushushwa jukwaani, Kigoma

VIDEO: Kafulila azomewa na kushushwa jukwaani, Kigoma

he he heeee anayerekodi ndie anayepiga kelele, duh! sisiemu mmefika huku?
 
Jamani hiyo video mmeiona?

Mm sijaona kitu hebu nieleweshwe
 
Nimeangali chan10 taarifa ya habari.

Mtoa mada muongo mkubwa na mpuuzi ww.

Mbowe kauliza on neutral bases

Je mnamtaka huyuuuuuu watu kimyaaaa

Akamgeukia mwingine

Je mnamtaka huyuuuu watu ndiyoooo

So maamuzi yamefanywa na raia.
 
DAVID ZACHARIA KAFULILA mbunge kijana wa Jimbo la Kigoma Kusini kwa tiketi ya Chama Cha NCCR- Mageuzi ambae alipata umaarufu mkubwa katika siku za hivi karibuni baada ya kufichua Ufisadi mkubwa wa Escrow na kupelekea Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji fredrick werema kung'oka na Serikali kuyumba amepata aibu ya Mwaka akiwa nyumbani kwao Kigoma.

LABDA ni kulewa Umaarufu, ama labda ni kukosa ukomavu na ujana, Mbunge huyo machachali alisimama kwenye jukwaa akihutubia na kuwaambia watu wa kigoma kuwa hawana Haja ya kuanzisha Chama Cha Siasa, kama wanahamu ya kuanzisha Chama wanaweza kuanzisha Chama Cha MAWESE na MICHIKICHI.

Baada ya Kauli hiyo ya Kafulila, Maelfu ya wananchi waliojitokeza Mkutano hapo waliona wamedharauliwa na kukejeliwa na Mbunge wao huyo na walianza kuzomea na kumwambia kuwa UKAWA hawana chao Kigoma, jambo lililomfanya kafulila kushindwa kuongea na kushuka jukwaan wewe ni muongo
 
Kwanini tu tusiwe wakweli ukimpenda mwenzako nae mungu atakupenda ukimtakia mema hayo mema yatakujilia.
 
Haya ndio maneno yaliyomponza hadi kuzomewa:

Wenzangu wa Kigoma hamna sababu ya kutafuta chama chenu. Mngekuwa na chama chenu, mngeanzisha mawese. Mkitaka chama Kigoma, mnaanzisha cha michikichi. Sio cha Siasa.

Angalia video ya tukio hapa BOBL


 
CHEZEA LWAMA NINI!!! Habari yake imeshakwisha huyoo.... baada ya 26th Oct atakuwa MKIWA!!!
 
Duh!! Waha ni wabaya! Wajuaji saana aswa wale wa pale Urusi na ujiji...ebhanaa walahi walasulhi..wana sumu ni dunia.
 
Eti watu wa Kigoma waanzishe chama cha Mawese na siyo chama cha siasa, ghafla upepo ukabadilika ikala kwake.
[video=youtube_share;oIr6RhcqDLE]http://youtu.be/oIr6RhcqDLE[/video]
 
Weka Hiyo video basi,Ile ya Zitto kuzomewa tunduma ipo YouTube.
 
Eti watu wa Kigoma waanzishe chama cha Mawese na siyo chama cha siasa, ghafla upepo ukabadilika ikala kwake.
[video=youtube_share;oIr6RhcqDLE]http://youtu.be/oIr6RhcqDLE[/video]
who pays you for this rubbish made story???
 
Back
Top Bottom