VIDEO: Humphrey Polepole na Katiba Mpya November 2014

VIDEO: Humphrey Polepole na Katiba Mpya November 2014

nimefura hisa kamanda kuiona hii video ngoja kijana afunguke tuzidi kumwombea kwa MUNGU azidi kutuelimisha,
na ningependa hii katiba ipigwe chini ili Bunge la Katiba liitishwe upya na ukawa wadumbukie humo moto uwake
 
Hongera sana kijana wetu Humphrey, hakika unafanya kazi iliyotukuka ya kuelemisha jamii. Elimu unayotoa inawafungua macho wengi kuweza kuelewa mambo na bila shaka wataweza kufanya maamuzi sahihi muda muafaka utakapofika! Keep it up!
 
Godfrey aliyepiga simu katika dakika ya 50 kutoka sumbawanga alikuwa ni kilaza kweli kweli. Hao ndio aina ya raia wa Tanzania wasioona mambo, wapo kutetea kila linalofanywa na serikali bila kuliangalia kwa mapana. Polepole alisema kuwa ataongelea mapungufu tu kwa vile kuna mazuri yalioyomo ndani ya katiba hayahitaji kuboreshwa zaidil; hal;afu huyu jamaa anakurupuka na kudaia kuwa @#$@$%$^$&^%^*&
 
Tanzania ni nchi ya ajabu kweli; Balozi kutoka Zanzibar naye amekuja na %$^&*() &**&&^& yake
 
Wasije tu kumdhuru manake Sikh hizi hatuna viongozi bali watesaji na wauaji
 
nimefura hisa kamanda kuiona hii video ngoja kijana afunguke tuzidi kumwombea kwa MUNGU azidi kutuelimisha,
na ningependa hii katiba ipigwe chini ili Bunge la Katiba liitishwe upya na ukawa wadumbukie humo moto uwake
Hilo Bunge Maalum la Katiba litaitishwa tena kwa Sheria ipi?
 
Godfrey aliyepiga simu katika dakika ya 50 kutoka sumbawanga alikuwa ni kilaza kweli kweli. Hao ndio aina ya raia wa Tanzania wasioona mambo, wapo kutetea kila linalofanywa na serikali bila kuliangalia kwa mapana. Polepole alisema kuwa ataongelea mapungufu tu kwa vile kuna mazuri yalioyomo ndani ya katiba hayahitaji kuboreshwa zaidil; hal;afu huyu jamaa anakurupuka na kudaia kuwa @#$@$%$^$&^%^*&
Kwa hiyo UKAWA tu ndio wenye mawazo "mazuri?"
 
jamani wabunge wa katiba tushirikiane hii katiba ipigwe chini kwa kura nyingi za HAPANA ili Bunge lirudi tuendelee kuvuta posho ya laki 300000 kwa siku tumalizie vijumba vijumba vyetu
 
Kwa hiyo UKAWA tu ndio wenye mawazo "mazuri?"

Huenda na wewe ni "Godfrey". Mtu mwenye akili timamu angefahamu toka mwazo pale msemaji huyo aliposema kuwa yeye ataangalia mapungufu tu kutokana na ufinyu wa muda. Kwa mipaka ya majadiliano ilikuwa ni wazi kuwa ni kuongelea mapungufu kwa vile ndiyo yanayohitaji kufanyiwa kazi na kurekebishwa. Halagfu Godfrey anauliza kwa nini anaongelie mapungufu tu asiongelee mazuri pia? Swali la @#$*(&)_$%^&*()+

Buchanan unajishusha sana iwapo umeanza kukurupuka kama mpiga debe dhidi ya UKAWA. Mkosamali hakuwa msemaji wa ukawa bali alikuwa anachambua katiba iliyopendekezwa, na kilichotakiwa ni kujadili uchambuzi wake siyo kuuliza maswali ya kisiasa kama ya Godfrey na wewe kuingiza UKAWA.
 
Kama Tanzania ni nchi ya ajabu wewe mwenyewe ni mtu wa ajabu, right?
Unfortunately the majority rules, samaki mmoja akioza basi ni wote pia wanakuwa wameoza; kwa hiyo sijitengi. Ndiyo maana naishi chini ya utawala unaoendekeza rushwa hata kama siupendi, au wewe hujui maana yake?
 
Hilo Bunge Maalum la Katiba litaitishwa tena kwa Sheria ipi?

Sheria ya kura ya maoni ambayo hadi leo mainterahamwe hayataki kuiweka hadharani wakati jiaoshou kikwete amesha iassent
 
Sheria ya kura ya maoni ambayo hadi leo mainterahamwe hayataki kuiweka hadharani wakati jiaoshou kikwete amesha iassent

Kwa hiyo Sheria ya Kura za Maoni ndio itatumika kuitisha hilo Bunge Maalum?
 
Buchanan, Buchanan...si heri kukaa kimya? Ona sasa unavyojivua nguo na kubaki mtupu! Mtu hujui chochote lakini kutwa kukurupuka nambari wani. Please do us all a favour, shut T.F.U!

Ni kweli sijui ndio maana nikauliza swali! Na wewe unayejua badala ya kujibu unaleta kejeli! Hapo nani kajivua nguo kama si wewe?
 
Sheria ya kura ya maoni ambayo hadi leo mainterahamwe hayataki kuiweka hadharani wakati jiaoshou kikwete amesha iassent
Mbona mwana-UKAWA Polepole alikuwa anaitaja hiyo Sheria tena alinukuu vifungu vyake, aliipatia wapi?
 
Back
Top Bottom