Khakha
JF-Expert Member
- Jul 15, 2009
- 2,981
- 1,013
Mbona mwana-UKAWA Polepole alikuwa anaitaja hiyo Sheria tena alinukuu vifungu vyake, aliipatia wapi?
Naona buku saba fc umeingia morning shift. Chai umekunywa lkn?
Mbona mwana-UKAWA Polepole alikuwa anaitaja hiyo Sheria tena alinukuu vifungu vyake, aliipatia wapi?
"Buku saba fc" ndio kitu gani mkuu, tueleweshe!Naona buku saba fc umeingia morning shift. Chai umekunywa lkn?