Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,791
- 218,420
Nadhani ni dalili nzuri, kifo ni mawaidha. Ni ukumbusho kuwa hapa duniani tu wasafiri,tutendeane wema katika nyanja zote za maisha.Hapa ndipo tumefika ambapo hata misiba inakuwa ni sehemu ya kupashana!
Si dalili nzuri kwa wale wanaoelewa!!!!!!!!!!!
Siasa ni maishaSiasa zinatengeneza kitu kibaya Sana kwenye jamii
Inamaana hata kwenye msiba kunafanywa siasa?
Ni upumbavu ambao ukilelewa mwisho wake watu watatwangana makonde Mbele ya mwili wa marehemu,
Naomba kutumgwe Sheria ya kuheshimu na kutoleta mizaha kwenye misiba
Mkuu unaweza kujazia video zaidi , hii tecno yangu ya tochi inagomaKweli nguvu ya Boyd na People's Power tumeiona mbele ya Cabinet ya CCM iliyohudhuria msiba wa Kamanda wetu.
RIP kamanda Boyd Mwabulanga.
swali lako ni zuri ila ni la kijingaHivi sasa hivi anafanyashughuli gani au amerudi kwenye kazi yake ya kuimba!!
Siasa zinatengeneza kitu kibaya Sana kwenye jamii
Inamaana hata kwenye msiba kunafanywa siasa?
Ni upumbavu ambao ukilelewa mwisho wake watu watatwangana makonde Mbele ya mwili wa marehemu,
Naomba kutumgwe Sheria ya kuheshimu na kutoleta mizaha kwenye misiba
Hakuna mpinzani Zuzu kama ulivyo wewe.Hivi sasa hivi anafanyashughuli gani au amerudi kwenye kazi yake ya kuimba!!
Ni mfanyabiashara.....ana hotel yake kubwa, nzuri ya ya kisasa eneo la Uzunguni Mbeya Mjini...Una jingine?Hivi sasa hivi anafanyashughuli gani au amerudi kwenye kazi yake ya kuimba!!
Kumbe ubunge amepigwa chini!! Nilifikiri ni mbunge wa Mbeya. Amebaki kutoa hotuba kwenye misiba tu!!
Hotel ya nyota 3 , baada ya miezi kadhaa itakuwa nyota 5Ni mfanyabiashara.....ana hotel yake kubwa, nzuri ya ya kisasa eneo la Uzunguni Mbeya Mjini...Una jingine?
Unadhani maisha ya Sugu ni ya ukibaka na domokaya kama yako?Hivi sasa hivi anafanyashughuli gani au amerudi kwenye kazi yake ya kuimba!!
kwani yeye ndie mbunge wa kwanza "kupigwa chini" .....aliondoka Simpasya....aliondoka Wassira (kule Bunda)....kipi cha ajabu kwa Sugu!Kumbe ubunge amepigwa chini!! Nilifikiri ni mbunge wa Mbeya. Amebaki kutoa hotuba kwenye misiba tu!!