Video: Hotuba ya Sugu kwenye msiba wa Mwabulanga yawaacha wana CCM wakijiinamia kwa aibu

Mimi siyo mpinzani mkuu usinitukane!! Mimi ni mtawala natawala nchi ya Tanzania wapinzani mazuzu ni hao wakina Sugu na mleta thread.
Unaonyesha usivyo na akili! Hata jibu ulilopewa umeshindwa kulielewa unabwabwaja tuu. Nani kakuambia wewe mpinzani?
Kwa nini lakini huko ccm mmejaa mazuzu namna hii?
 
Mkuu, Mbele ya mwili wa marehemu, huwenda Tukaanza kumkasirisha aliyemvuna!
Siasa kwa kifupi ni maisha ya watu ya kila siku sheikh

1. Utamaduni, ushirikiano na mahusiano
2. Shughuli za uchumi
3. Itikadi zetu kama taifa
4. Elimu
5. Afya
6. Mazingira
Nk

Huwezi kutenganisha siasa na utamaduni, mahusiano, uchumi nk
[/QUOT
 
Hivi sasa hivi anafanyashughuli gani au amerudi kwenye kazi yake ya kuimba!!
Unajua hii dunia, sijui inakwenda wapi? Yaani kila mtu akishindwa, anasema matokeo yamechakachuliwa. Mpaka Trump anabisha kuwa hakushindwa. Sasa sijui kwenye uchaguzi huwa wanakwenda kushindana, au huwa wanakwenda kwenye uchaguzi ili wao tu washinde? Alivyoshinda yeye 2015 ndio ilikuwa halali, si ndio??? Sasa hivi kashindwa, matokeo yamechakachuliwa. Basi hata 2015 yalichakachuliwa pia, ndio maana alishinda.
 
Ukimbana sana paka kwenye kona lolote laweza kutokea.

Haya nimatokeo ya kufunga majukwaa halali watu kusema. Sasa wanatumia nafasi yoyote kutoa dukuduku zao.
Mbona bwana mkubwa anatumika madhabahu za kabisa kusifiwa na kuabudiwa?
 
Back
Top Bottom