Video: Hiki alichokifanya mbunge Jasson Rweikiza kushirikiana na wananchi kuua ngedere ni sahihi?

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Kwa video hii napata Shida sana kuelewa kama wananchi wanajua majukumu ya mbunge wao.

Mbunge wa jimbo la Bukoba vijijini Jasson Rweikiza kwa kushirikiana na wananchi pamoja na wawindaji wameamua kuingia porini katika maeneo ya Kemondo wilaya ya Bukoba mkoani Kagera kwa ajili ya kuwaondoa Ngedere ambao wamekuwa kero kubwa kwa wananchi wa maeneo hayo.
 
Yupo sawa. Kama ana kibali toka maliasili. Ngedere hwana faida yoyote kwenye jamii.
 
Kuna aina na aina kuna ngedere na mbega ambao wako harini kupotea,hao hairuhusiwi kuwauwa kuna aina ingine ambao ni wengi sana,hao ukiwauwa watatu huwa hawarudi.
 
Huyo Rwekiza si ni CCM?
Ndo akili zao...wanapenda cheap responsibilities za kugawa pombe, kofia na kanga
 
CCM kwa Ujangiri usiseme inawezekana wamepata market ugharibuni----vyuma vimekaza!!
 
Huyu mbunge ana bahati ni wa Chama tawala. Angekuwa kule!!!! Ha ha haaa. Kesi yake angeacha mjane.
 
Duh ilo shotgun siku nyingine akae kwenye mti asije akaruka nalo pamoja na risasi.
 
Back
Top Bottom