Mkuu nahisi wewe ni mfia dini siyo kwa comment kama hiyo asee🙁!!.
Mkuu mikusanyiko kama hii anatokeaga mmoja anawanunulia kvant na konyagi.hata kama hunywi kukiwa na hizi mob saikoloji utaonja..ndo unaona matokeo kama hayaSijapata jibu la moja kwa moja angalia hii clip ni fupi sana 00.42mins ukubwa wa 3.4mb so haiwezi kumaliza MB's zako.
View attachment 1734083
Hao akina mama wanaonekana wahuni wa kitaa hawapo kimsiba kabisaSijapata jibu la moja kwa moja angalia hii clip ni fupi sana 00.42mins ukubwa wa 3.4mb so haiwezi kumaliza MB's zako.
View attachment 1734083
Ulisoma shule gani wewe?Sijaona marehemu akipitishwa. Nilichoona ni kitabu kinachofanana na 'Biblia' imewekwa chini na mtandio mwekundu ukiwa umewekwa juu yake. Kwa siyo siwezi kutoa maoni.
Juzi wakati Uhuru Kenyatta anakatisha hotuba ili kuheshimu Adhana, kuna mpuuzi mmoja alitoa maoni hapa nikamkaripia na sikumsikia tena. Alisema; "Kwa nini huyo Mhadhini apigie kelele Waombolezaji?" Sioni tofauti ya ubovu wa akili zake na zako.Manabii wanasemaje? Maana waumin wa hicho kitabu bado wao wanaletewa manabii