Video: Hii ndio treni ya 'standard guage', wenye malori jipangeni

Usichopenda ni nini sasa ....'msema ukweli' au ukweli wenyewe!? Ama ukweli umesingiziwa!
4eb47a7ba82151f338f5819e3acd890e.jpg
 
Wakuu, ukichukulia mkulu anavyonasibu huu mradi wa reli kwamba itakuwa ni masaa kumi tu kati ya Dar - Mza basi nashauri awasiliane ha hawa jamaa watuletee kama hizi!

Duuuh hiyo kitu sio mchezo...That thing is super huuuge! Ukipata hilo unasafirisha mizigo mara moja tu kwa week... Malori ni adui wa maendeleo
 
Niache kuombea vitu vya msingi nimuombee huyo? Your not serious mkuu. labda kwa shetani but si kwa MUNGU ninaye muabudu. Over
Vichwa vinne vinavuta mabaehewa zaidi ya sitini.inabidi tuanze kufikiria shughuli mbadala wa malori yetu.
 
Duuuh hiyo kitu sio mchezo...That thing is super huuuge! Ukipata hilo unasafirisha mizigo mara moja tu kwa week... Malori ni adui wa maendeleo
Umeona eh, sema tatizo letu ni management na fitina. Ni wachache unajua kuwa TAZARA ni SGR
 
Duuuh hiyo kitu sio mchezo...That thing is super huuuge! Ukipata hilo unasafirisha mizigo mara moja tu kwa week... Malori ni adui wa maendeleo
Mkuu unavyo sema malori ni adui wa maendeleo unakuwa unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom