Video: Hii ndio treni ya 'standard guage', wenye malori jipangeni

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,474
2,000
Wakuu, ukichukulia mkulu anavyonasibu huu mradi wa reli kwamba itakuwa ni masaa kumi tu kati ya Dar - Mza basi nashauri awasiliane ha hawa jamaa watuletee kama hizi!
 

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,335
2,000
Mkuu, chuki ni mbaya. Hebu panda mbegu za upendo moyoni mwako na usambae hata kwa waiba kura!
siwezi kumpenda nilichukia tangu alivyosema watu wapige mbizi hapo ikawa ndo mwisho wa kumthamini hata afanye nini hata asingekuwa na cheo alicho nacho kwa sasa nilimchukia kabisa sasa hivi hata afanye jema gani bado namuhesabia si lolote............


nilimweka kwenye kundi la...........
 

Job Richard

Verified Member
Feb 8, 2013
3,553
2,000
siwezi kumpenda nilichukia tangu alivyosema watu wapige mbizi hapo ikawa ndo mwisho wa kumthamini hata afanye nini hata asingekuwa na cheo alicho nacho kwa sasa nilimchukia kabisa sasa hivi hata afanye jema gani badi namuhesabia si lolote............


nilimweka kwenye kundi la...........
Unajiamini mkuu mie kunguru
 

Job Richard

Verified Member
Feb 8, 2013
3,553
2,000
sasa kwani lazma nimpende kisa ?kina lizaboni mudawote motosijui nini wanamtosha
ni lazima umpende ni mkulu wa nchi

cheo chake heshima + upendo mengine baadae na anaomba umuombee hilo ndilo neno lake muda wote asimamapo mbele za watu
 

Mtemikwila

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
1,390
2,000
Nahisi kama jera inakuvutaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,335
2,000
humpendi ila unamkubali na kura ulimpa
4eb47a7ba82151f338f5819e3acd890e.jpg
subutu yako
 

agadinho

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
581
500
ni lazima umpende ni mkulu wa nchi

cheo chake heshima + upendo mengine baadae na anaomba umuombee hilo ndilo neno lake muda wote asimamapo mbele za watu
Niache kuombea vitu vya msingi nimuombee huyo? Your not serious mkuu. labda kwa shetani but si kwa MUNGU ninaye muabudu. Over
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom