PostGE2025 Video: Hali ilivyo muda huu Mbezi kwa Msuguri

PostGE2025 Video: Hali ilivyo muda huu Mbezi kwa Msuguri

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
safi sana, iwe hivi hivi , D9 hakuna, kuna D10 , tuone nani atanyoosha mikono juu
 
Mimi naona waandamanaji ndiyo wameshinda.
Ina maana kama siku zote kuanza leo kukiwa kimya kama ilivyo leo hapa Dar,maana yake malengo ya waandamanaji ya kudhoofisha uchumi yatakuwa yametimia
Tuesday siku ya kazi Kodi hazikusanywi na Kuna watu wanakenua meno kuwa serikali imeshinda.

Siku ya uhuru shughuli zimekuwa zikiendelea kama kawaida
 
Itakusaidia wewe ndugu ili uache kuhamasisha vurugu. Vijana wanataka ajira za kueleweka, mazingira bora ya kufanya biashara na huduma bora za kijamii. Siyo hayo madai yenu sijui katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi. Hayo daini nyie wanasiasa na msitumie mgongo wa vijana kwa kuiga sijui Kenya, na Madagascar ambako hizo vurugu hazijaboresha maisha ya vijana bali kunufaisha wanasiasa warafi kama ambao unawatetea wewe kwa kufanya vurugu
Mbona wanatekwa wasio wanaSiaSA na Wana siasa, wanatekwa vijana na wasio vijana!!! Haki ya ajira mbona inatolewa si kwa vigezo stahiki mara zote bali 'connection'? Hili jambo halikukeri???

Ukikagua mabandiko yangu hapa hakuna nimesema vijana wafanye vurugu. Mimi nimekuwa muumini wa Watanzania TUJITEGEMEE kwa Kila jambo Kwa haki na ukweli. Tuache uhuni.

Ni hilo tu.
 
Sawa
Soma tena kwa makini utaelewa.
Ili haki iwepo lazima utu, ustaarabu na amani pia viwepo. Huwezi kupata haki kama hauna utu, si mstaarabu na unahamasisha vurugu.

Asante
 
safi sana, iwe hivi hivi , D9 hakuna, kuna D10 , tuone nani atanyoosha mikono juu
Mkuu upo tz kweli,? Nikweli ila sisi tunaoishi kwa vibarua hali kama hii tunaishi vipi? Nikwel siasa inakosea ipa bora tutoke tukatafute sh 100
 
Back
Top Bottom