Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,703
- 7,907
Manara atamzidi Mtume Muhammad(SAW),aliyefanya kazi kwa Bi Khadija?Na pia akawa mfugaji?Role Model wa waislam ni Mtume Muhammad(SAW),sio Manara.Katika uislamu hakuna utofauti wa ibada kati ya Imam na waumini,wote wanafanya ibada sawa sawa,na wanaelekea muelekeo mmoja.Kwa hiyo wewe unamzidi manara kujua uislamu?!
Mwenzako alishakusa mkufunzi wa dini
Ma Imam watafute kazi au wafanye biashara.Misikiti mingi ina frem.
na nje ya misikiti kuna wanaouza bidhaa mbali mbali.Mai
mam ,wafanye biashara,wafanyekazi.Uimam sio kazi,ni ibada.