Kibaya zaidi wanaonekana kutoelewa hata taratibu za makanisa e.g. taratibu za kuungama and the like. Pamoja na kwamba ni makanisa ya kikristo lakini pia yana taratibu tofauti -si kila kanisa watu wanaungama kwa kiongozi wa kanisa.Pamoja na kwamba kuna makanisa mengi yanafanya usanii lakini si yote. Kuna watu hawawezi kukubali kuchafuliwa at any cost. Ninachojiuliza ni watu wangapi huwa wanasoma hiyo ripoti ya polisi kabla Kova hajaja kuisoma mbele za waandishi wa habari? Je hao waliopewa copy waliona inafaa kuisoma mbele za watu? Je nani aliongezea chumvi kwenye hiyo ripoti? i.e. huyo mtu alienda kutubu kwa Mchungaji wakati kumbe hata hakuonana na mchungaji. Je Kova mwenyewe aliisoma hiyo ripoti kabla yakuita press conference? Nionavyo mimi kuna mawili: either they(Kova & co) don't care or their very dumb that they can't even figure out a "smart" lie.