VIDEO: Gwajima akiiumbua serikali ishu ya Ulimboka

KOVA kwa kwa kikwetu/kikabila chetu ni MTU ALIYELAANIWA!

Kweli majina HUUMBA!
 
KOVA kwa kikwetu/kikabila chetu ni MTU ALIYELAANIWA!

Kweli majina HUUMBA!
 
Ushauri wa bule kwa kova wadanganyika tumebadilika uongo wa kianalojia haukubaliki bora wa kidijitali maana unakaribia ukweli kama alipata ajali ikaathiri uwezo wake wa intelejensia basi ajiuzuru maana hayo anayozungumza ni yakwake mwenyewe hayahusu kanisa kwani walokole hawaendi kuungama kwa mchungaji !!!ndio maana alipoongea na waandishi kama mtu mwenye kigugumizi hali ambayo si kawaida kwake pia hakutaka maswali ya hapo kwa hapo.hii ni aibu tupu.
 
Gwajima alitumia muda mwingi kuelezea jinsi mkenya aliemteka ulimboka alivyofika pale kanisani kwake na kutaka kuonana na uongozi wa kanisa hilo.baada ya maelezo yake akatoa maoni kwa mtizamo wake kama ambavyo wana JF tunafanya hapa kila siku.

Maelezo ya GWAJIMA yalikuwa marefu kiasi kwamba mengi aliyoyaeleza alionekana kufafanua kwa kina maelezo na taarifa ya KOVA kwa kuwa KOVAS asingeweza kupata muda huo.

kumbuka Gwajima ameongelea kanisani wakati KOVA ameongea na waandishi wa habari.

My take; Mkenya ahojiwe vizuri aeleze kwanini walimtesa DR ULI.
Gwajima hajapigia msitari bali wewe ndio unapigia kwenye jibu ambalo si sahihi
 
Polisi nahisi hawkujipanga wakati wa kumteka Ulimboka na pia hawajajipanga kujisafisha, kwani mnakimbilia wapi jamani fanyeni mambo yenu taratibu na yawe na matokeo mliyokusudia angalia sasa Mnavyojiaibisha
 
Hi issue ni ya serikali ya ccm, hakuna cha mkenya wala nini, naomba wakajipange upya, waje na muvi lingine, kwani hilo stering tayari kesha uawa.
 
Gwajima alitumia muda mwingi kuelezea jinsi mkenya aliemteka ulimboka alivyofika pale kanisani kwake na kutaka kuonana na uongozi wa kanisa hilo.baada ya maelezo yake akatoa maoni kwa mtizamo wake kama ambavyo wana JF tunafanya hapa kila siku.

Maelezo ya GWAJIMA yalikuwa marefu kiasi kwamba mengi aliyoyaeleza alionekana kufafanua kwa kina maelezo na taarifa ya KOVA kwa kuwa KOVAS asingeweza kupata muda huo.

kumbuka Gwajima ameongelea kanisani wakati KOVA ameongea na waandishi wa habari.

My take; Mkenya ahojiwe vizuri aeleze kwanini walimtesa DR ULI.

Acha uongo,ww ndo umepotosha!Gwajima ameongea ukweli,aibu yenu!
 
nimeipenda point ya polisi wepesi na hoja nyepesi.... lakini tunategemea nini kutoka kwa watu ambao ndoto za maisha hazikua kuwa polisi, ila hawakuwa na jinsi
 
Wana Jamii Forums mnatisha, kweli huu ni mtandao wa Ma-Genious.
kama umesikiliza vema maelezo ya Mch. Gwajima jana, utagundua waziwazi kuwa, nukuu zake muhimu
zilitokana na michango ya wana-JF. Ukianzia issue ya yule Mafia-ACP Msangi, mpaka habari ya ndani kabisa ya migomo ya madaktari. Hii inaonyesha kuwa JAMIIFORUMS ni tegemeo hata kwa wakuu wa Dini..BRAVO!!!!
sio haso tu hata mkuu wa nchi na wapambe wake wa karibu wana A/C. zao hapa JF. kwa kutumia fake ID's.
 
Back
Top Bottom