Kova udenda unamtoka tuu sasa hivi !
Hajui haandae tamko la namna gani!
Akose Tamko? Hebu angalia hii: wananchi walininukuu vibaya,nilichosema ni kwamba mm na vijana wangu tunaendelea na uchunguzi kama Joshua aliyoyasema ni ya kweli. Maana hata sisi tuli/tunatilia shaka maelezo yake. Wananchi tuwe na subira. Tehe tehe
akose tamko? Hebu angalia hii: Wananchi walininukuu vibaya,nilichosema ni kwamba mm na vijana wangu tunaendelea na uchunguzi kama joshua aliyoyasema ni ya kweli. Maana hata sisi tuli/tunatilia shaka maelezo yake. Wananchi tuwe na subira. Tehe tehe
Gwajima alitumia muda mwingi kuelezea jinsi mkenya aliemteka ulimboka alivyofika pale kanisani kwake na kutaka kuonana na uongozi wa kanisa hilo.baada ya maelezo yake akatoa maoni kwa mtizamo wake kama ambavyo wana JF tunafanya hapa kila siku.
Maelezo ya GWAJIMA yalikuwa marefu kiasi kwamba mengi aliyoyaeleza alionekana kufafanua kwa kina maelezo na taarifa ya KOVA kwa kuwa KOVAS asingeweza kupata muda huo.
kumbuka Gwajima ameongelea kanisani wakati KOVA ameongea na waandishi wa habari.
My take; Mkenya ahojiwe vizuri aeleze kwanini walimtesa DR ULI.