Video games ambazo mpaka sasa nimeshacheza

troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
6,359
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
6,359 2,000
Mengi yalifutika.

Nimebakiwa na gta 5, fifa 19, fifa14, need4speed most wanted 2012, need4speed pay back. Pes2017,pes2018. Ghost recon wildland,
Jpili ntakuja.....ukiachana na gta5 mengine ni yapi unayo
 
Linko

Linko

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
1,444
Points
2,000
Linko

Linko

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
1,444 2,000
Mengi yalifutika.

Nimebakiwa na gta 5, fifa 19, fifa14, need4speed most wanted 2012, need4speed pay back. Pes2017,pes2018. Ghost recon wildland,
Mkuu naweza pataa Ghost recon wildland

Na need4speed pay back
 
publito

publito

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
271
Points
500
Age
34
publito

publito

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2016
271 500
Video games zinakula muda. And I know I don’t have time. So imagine wasting the time you don’t have.
Hivi unajua ulevi, umalaya, umbea nao unakula muda....kwahiyo wewe ukiwa unafanya huo ufuska na mm ndio muda nakuwa kwenye hobby yangu ya kucheza games
 
kibhopile

kibhopile

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Messages
1,454
Points
1,500
kibhopile

kibhopile

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2010
1,454 1,500
Hivi unajua ulevi, umalaya, umbea nao unakula muda....kwahiyo wewe ukiwa unafanya huo ufuska na mm ndio muda nakuwa kwenye hobby yangu ya kucheza games
Tathimini nzuri umefanya ila ni kwamba muda wangu siutumii kwa anything you mentioned hapo juu. Yaani nakuelewa vizuri kwamba game ni hobby Ila mkuu nishasema nikiifanya hobby it will turn to addiction and sitaki kuwa game addict
 
publito

publito

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
271
Points
500
Age
34
publito

publito

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2016
271 500
Tathimini nzuri umefanya ila ni kwamba muda wangu siutumii kwa anything you mentioned hapo juu. Yaani nakuelewa vizuri kwamba game ni hobby Ila mkuu nishasema nikiifanya hobby it will turn to addiction and sitaki kuwa game addict
And always anything too much is harmful
 
Forum statistics

Threads 1,295,911
Members 498,475
Posts 31,227,877
Top