PostGE2025 Video: DW waachia Ushahidi mpya juu ya mauaji ya Oktoba 29, 2025

PostGE2025 Video: DW waachia Ushahidi mpya juu ya mauaji ya Oktoba 29, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
we ni mtu wa ajabu kweli!, nani afurahie umwagaji damu watu 10000!?, sina roho ya kigaidi kiasi hicho.
Nikisema huna akili ntakuwa nakupa sifa kubwa.
Soma posts zako za kebehi na nimequote baadhi.

Shetani anajifunza kwako
 
Tulishamwachia Mungu yeye atajua alipe kwa wakati gani!, kumbuka kila baya na jema atendalo mtu hulipwa kwa wakati.
Kwani huyo Mungu atashuka na kumpiga vibao Samia au vipi. Kwanini usiamini michakato kama hii ya ICC ndio Mungu anataka kutoa adhabu zake?
 
Kwani huyo Mungu atashuka na kumpiga vibao Samia au vipi. Kwanini usiamini michakato kama hii ya ICC ndio Mungu anataka kutoa adhabu zake?
bora wewe umeeleweka kabisa mkuu!, shida kuna member wengine hapa wanataka wanichanganye kundi moja na mashetani wa CCM wakati mimi sipo huko.
 
Mhusika ameomba radhi kuzima internet badala ya kuomba radhi kuua raia
kwa hiyo kuzima mtandao ni kosa kubwa sana kuliko kutoa uhai wa mtu?????????
 
Duh!! Hii ilikuwa hatari sana nahisi watanzania wenzetu zaidi ya laki 1 waliuawa
 
Kumbe zilitumika bunduki za kivita za Azk 47 jamani duh!! Hawa watu sio kabisa na hiyo ripoti ya jeshi la mwanza iliyovujishwa kwa DW iliwafikiaje
 
Mbaya sana aisee na Inasikitisha.
Ngoja Makonda aje
 
Waliwafanyia raia udhalimu mkubwa sana asee, kama sio watanzania vile.

Sijui walivutishwa bange gani.
Kumbe zilitumika bunduki za kivita za Azk 47 jamani duh!! Hawa watu sio kabisa na hiyo ripoti ya jeshi la mwanza iliyovujishwa kwa DW iliwafikiaje
Si uliona kuta zilivyokuwa zinatoboka.

Yaani ule ni udhalimu Hitler anangoja.

Unatumiaje silaha katili kiasi kile kwa raia wasiokuwa na silaha.

Dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu hautasahaulika. Malipo ni lazima yawepo. Tanzania sio Somalia wala Afghanstan.
 
Back
Top Bottom