figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,654
- 59,078
TAKUKURU, pokeeni kazi hii. Mshindi wa kura za udiwani Kata ya Kivule ndungu Rajabu Shabani Manyinya akitoa rushwa waziwazi siku moja kabla ya uchanguzi kufanyika.
Kata ya Kivule ipo Jimbo jipya la Kivule Jijini Dar es Salaam.
Nategemea kupoka majibu sahihi kutoka kwenuo
Hii rushwa yeye alisema [machungwa] alikuwa anayaatoa kwa wajumbe siku moja kabla ya uchaguzi uliofanyiaja tarehe 4/8/2025
Uzuri majina kajitaja mwenyewe na kazi zake.. Hamtatumia nguvu kumpata.. Kwenye Video kuna Viongozi wa CCM wa Kivule wanaonekana. Watawasaidia