Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...


T

Tigershark

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2018
Messages
3,562
Points
2,000
T

Tigershark

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2018
3,562 2,000
Hao pimbi wanaoshangilia hapo hawajui kama hiyo ni team work,wote wapo kazini.Gwajima amemuuliza mwanamke wewe unaonaje? miradi yetu isimame kwa sababu ya kivideo ambacho kimeeditiwa huko?siyo mimi,kweli mama nanii siyo mimi akajiapiza apiza uwongo na kweli na kwa sababu anajua mwanamke hana analolijua kuhusu technology jamaa akamwachia mtihani aamue.

Ukichukulia mwanamke mwenyewe anaonekana njaa kali bila nguzo yake Gwajima mambo town hayataenda akaona akubali kukaa upande wa mumewe.
Wewe una ushahidi gani kama ni aunthetic?Iliwahi kutengenezwa audio ya Mbowe na Wema,wajinga kama wewe mkakimbilia kuamini!!!!Watengenezaji wakaumbuka walivyoitengeneza !So kuwa na akiba maneno!
 
Z

zeus47

Member
Joined
Jul 27, 2014
Messages
98
Points
125
Z

zeus47

Member
Joined Jul 27, 2014
98 125
Angalia vitu bila kuwa biased,utafurahia maisha..my dear...uko sahihi usichezee technology,expert in technology can make things believable...na kama huangalii vitu kwa open mind lazima u fall kwenye mitego ya shetani,,, this is shetani at work! Nothing else!
Delusional. Good day madam
 
Che mittoga

Che mittoga

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2017
Messages
3,294
Points
2,000
Che mittoga

Che mittoga

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2017
3,294 2,000
Hapo kilicho editiwa ni Kichwa au Kiwiliwili au Mkono ?
Mbona vyote vinashirikiana sawia.
 
P

Putenga

Member
Joined
May 1, 2019
Messages
16
Points
45
P

Putenga

Member
Joined May 1, 2019
16 45
Mbali na matatajio ya wengi tulivyotarajia kuwa Gwajiboy angekiri kuwa ile kideo ilikuwa yake na pengine angeomba msamaha, ajiuzulu au kuelezea ilivuja vipi. Gwajiboy akachomoa kama walivyochomoa Liverpool dhidi ya Barca just.

Swali Je, Editing na tekinolojia anayodai gwajiboy ipo na inawezekana.
Jibu, ni ndio Kuna teknolojia inaitwa AI (artificial intelligence) na 3D printing inaweza kuedit video hizo.
Tayari 3D na AI ishafanya kile anachodai baba askofu kuwa want edit.
Tazama hapa kuona baadhi ya video za editing Alizofanyiwa Barack Obama.
Nyingine hii

Alichotakiwa kufanya Baba Askofu ni kutuletea video origino ambayo inaonyesha mhusika wa tukio. Sio yeye kuleta porojo za bausa na kuzidi kujishushia hadhi yake.

Kufahamu kidogo kuhusu AI na 3D Soma Uzi wa kijana wa forex kuhusu utabiri wake. https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1379798/
 
tol

tol

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2014
Messages
238
Points
250
tol

tol

JF-Expert Member
Joined Apr 18, 2014
238 250
Nimeiangalia hiyo video ya gwajima kwa umakini Sana na mara nyingi na kufananisha na gwajima
Gwajima simchukii namuheshimu sana kama ninavyowaheshimu watumishi wote wa MUNGU
Gwajima kama binadamu siyo mkamilifu anaweza kujikwa na akuanza yeye, mfalme Daudi naye alijikwaa akaanguka lkn alijuta na kutubu kuna usemi unasema ukiwaunaoga mtoni akajaa chizi akachukua nguo zako busara ni kuchutama na sio Kumfukuza
Ukiangalia hiyo video kwa makini. .embu Angalia kopi za macho ziko nusu Kama zake angalia umbo la kichwa cha gwajima angalia unyoaji wa nywele pamoja na ndevu style ya U.. Angalia umbo la pua na sikio yote yanafanana
Wale wote wanaodai kuwa video imeeditiwa wanakosa mashiko kwa maana kwamba mwili na kichwa vyote vinafanya mapenzi
Na wala wanaodai kuwa gwajima hawezi jirekod wakati anafanya mapenzi hawajui wakati huo mch alikuwa na Hali gani unajua pombe au mihemuko ya mapenzi inavyopunguza umakini. Wako watu wengi waliojirekodi baadae wakajuta
Mwisho tunataka watu wanaosema sio yeye waje na hoja nzito na zinazoelewrka na kukubalika
 
Che mittoga

Che mittoga

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2017
Messages
3,294
Points
2,000
Che mittoga

Che mittoga

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2017
3,294 2,000
Kuna andiko linasema
Wanaofanya matemdo yao kwenye Giza yatabainishwa kwenye Nuru.
Mungua ameamua kuonesha unafki wa mtumishi feki Gwajima.
Katika hii video, Ushahidi mkubwa upo kwenye kichwa na alama za kiganja.
Sura na Staili ya kunyoa ndevu ni ya Gwajima.
Kwa wale walioko karibu na Gwajima wamwambie awaonesha alama za mistari ya kiganja chake cha mkono wa kulia, halafu walinganishe na za mistali us kiganja chake halisi cha mkono wa kulia.
Watagundua kuwa zinafanana sana.
Umbo pia ni la Gwajima. Umbo dogodogo na kakamavu.
Rangi ya mwili pia ni ya Gwajima, rangi nyeusi.
Sauti najua mkewe ndio anaifahamu zaidi.
Hasa ya wakati wa tendo.
Hatumlalamikii Gwajima kama kumhukumu hapana.
Bali tunamlalamikia kwakuwa karibu kila wakati anakabiliwa na tuhuma za kutenda dhambi za kukusudia.
Tuhuma ambao kutokana na Biblia Takatifu hazimstahili mtu mwenye Cheo cha,
Askofu.
 
Wewemwenyewe

Wewemwenyewe

Senior Member
Joined
Nov 23, 2018
Messages
111
Points
225
Wewemwenyewe

Wewemwenyewe

Senior Member
Joined Nov 23, 2018
111 225
Mbona nimeangalia ile video ni safi tu haina uchafu wowote?
Af wote nafikiri walitoka kuoga.
Labda quality ya video sio 1080
 
Mbwa dume

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Messages
2,721
Points
2,000
Mbwa dume

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2014
2,721 2,000
Zile kelele zoote baada ya ile movie kusambaa mitandaoni mala ghafla leo kimya hakuna kokolo wala kakala kila mtu kimya!
Hata waliokuwa kanisani wamerudi kimya kimya..dah Dunia ina mambo.
Yaani kama ilivyoyeyuka ile ishu ya kapuya enzi hizo!
 

Forum statistics

Threads 1,295,402
Members 498,303
Posts 31,210,709
Top