mchawi anayeonekana kwenye kamera huyo sio mchawi, ni chizi tu. kama mchawi anapita kwenye ukuta video itamkamataje?Imetokea Gulu kaskazini mwa Uganda, tarehe 4/11/2021 .. uchawi upo .. View attachment 2024894
Jitahidi uilete mapema kabla wimbi la nne la corona halijaleta madhara makubwa mkuu!Uchawi wa kiafrika hauuwezi uchawi wa kizungu.
Siku nilaleta stori tulivyoua wachawi wawili kwenye paa la nyumba,kwa umeme..
Mbona kama uhalisia wa tukio unakosekana?Imetokea Gulu kaskazini mwa Uganda, tarehe 4/11/2021 .. uchawi upo .. View attachment 2024894
Kwa nilivyoelewa ni 17hrs tangu kamera ianze kurekodiMbona kama uhalisia wa tukio unakosekana?
Ukiangalia hapo footage inaonyesha ni 17 hrs, imekuwaje saa kumi na moja jioni ya east africa kukawa na giza totoro kiasi hicho?
Kivipi mkuu?Uchawi ni raha jaman
Kwa maana hiyo inaweza kuendelea mpaka labda 137:00:00, sidhani.Kwa nilivyoelewa ni 17hrs tangu kamera ianze kurekodi
Kakaa cha mzungu hakirogeki,wala humlengi yeye,unalenga kivuli tu,unafumua mpaka mshipa wa nnya.kama cctv imeweza kumuona, je ukimlenga na chuma atakufa?
😂😂😂Kakaa cha mzungu hakirogeki,wala humlengi yeye,unalenga kivuli tu,unafumua mpaka mshipa wa nnya.