Video: CCTV Camera zamnasa mwanga akifanya yake

Video: CCTV Camera zamnasa mwanga akifanya yake

Inawezekana keho yake asubuhi hao wenye nyumba wakakutana na huyo mwanga in real life na wakacheka kama kawaida bila kufahamu chochote

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yan hii dunia ni basi tu ila hata sio sehemu salama kabisa
 
Acha kuleta uswahili wa kutaka ukubalike kirahisi bila uthibitisho
uchawi upo dini zinakubli ,hao wazungu wako ndo namba moja kwa uchwi, kama una wazee wako waulize unaonekana hujui vingi
 
uchawi upo dini zinakubli ,hao wazungu wako ndo namba moja kwa uchwi, kama una wazee wako waulize unaonekana hujui vingi
Uchawi upo dini zinakubali

Hapo ndio unakuwa umethibitisha uchawi upo au ni hearsay?
 
Uchawi upo dini zinakubali

Hapo ndio unakuwa umethibitisha uchawi upo au ni hearsay?
kwa aina yeyote ile ukiend kiimani na kijamii uchawi upo 😅😅😅 kimila ndo kabisa katika kila ukoo kuna mchawiau mganga
 
kwa aina yeyote ile ukiend kiimani na kijamii uchawi upo 😅😅😅 kimila ndo kabisa katika kila ukoo kuna mchawiau mganga
uchawi una exist kwenye mind za watu, kihalisia haupo na ndio maana huwezi kuthibitisha upo
 
Huu ni usanii wa Hali ya juu sana, ni tukio la kupangwa/Igizo!
 
Back
Top Bottom