Mimi naamini mkuuKabisa mkuu, huwezi amini ..
Uchawi upo aloo
Kabisa mkuu, huwezi amini ..
Mna amini katika Mungu?Mimi naamini mkuu
Kuamini katika Mungu kuna uhusiano gani na uwepo wa uchawi??Mna amini katika Mungu?
Kwanini msiombe Mungu awape akili 32 na jino moja kubwa?
Uko nyuma sanaKuamini katika Mungu kuna uhusiano gani na uwepo wa uchawi??
Uchawi upo ni HAKIKA hata vitabu vya dini vinathibitisha
Ila Mungu ndio hutukinga na uchawi huo.
Sawa, wewe tangulia mimi sina haraka [emoji23]Uko nyuma sana
Kwa hiyo nawewe unakubaliana na hilo tangazo la CCTV kua kinachoonekana hapo ni tukio la kichawi kweli?Hao watu ni shida sana.Ila kwenye sayansi ya kamera wameshindwa kujificha.
nenda slow slow au nenda fast inapobidi, nenda kasi ukienda basi au slow lakini kwa speedSawa, wewe tangulia mimi sina haraka [emoji23]
Kwa hiyo nawewe unakubaliana na hilo tangazo la CCTV kua kinachoonekana hapo ni tukio la kichawi kweli?
Nyoosha maelezonenda slow slow au nenda fast inapobidi, nenda kasi ukienda basi au slow lakini kwa speed
Mi nimeuliza, kinachoonekana hapo kwenye hiyo video unaungana na mtoa mada kwamba ni uchawi?Kuna sehemu nimeandika ulichowaza?Lakini,kaa uelewe kwamba uchawi na wachawi wapo.Kua uyaone!