Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,488
- 14,879
Mtume Boniface Mwamposa akimuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Kanisa Jipya la Arise and Shine la Mtume huyo.
Ndio nashangaa hao wengine huwa wanaangukaje?🤣🤣🤣🤣🤣Pepo lingetoka😁😁😁 agaregare
Wajinga ndiwo waliwao...Kongole Sana kwa Mwamposa, ana akili sana
Mama mgumuNdio nashangaa hao wengine huwa wanaangukaje?🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio maana kaenda kwakeMaombi ya tapeli Mwamposa hayavuki hata paa la Kanisa lake.
Mungu aliye hai asikilize maombi ya huyu hawara wa Nandi??
Astaghifilulah!Mswalie mtume!Maombi ya tapeli Mwamposa hayavuki hata paa la Kanisa lake.
Mungu aliye hai asikilize maombi ya huyu hawara wa Nandi??
Haja dondoka MWAMPOSA Akiweka mkono kwa wamama na wanawake wengi huwaga wanadondokaga JARIBU kufwatilia ni must kudondoka.Kumbe mama anaruhusiwa kushikwa na wahuni? Na mabodigadi wanakubali hii nchi ngumu sana
Imeisha iyoMtume Boniface Mwamposa akimuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Kanisa Jipya la Arise and Shine la Mtume huyo.
Mbona hapandishi mashetani?Mtume Boniface Mwamposa akimuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Kanisa Jipya la Arise and Shine la Mtume huyo.
Inatakiwa ufanyiwe maombi ukiwa umepiga magoti.hiyo pisi mbele tamu