"Kuku mmoja anayetaga mayai ya dhahabu ni bandari ya Dar Es Salaam. Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha hakuna usumbufu kwenye mizigo, kwanza unawatengenezea watu barabara za uhakika kutoka Bandarini. Magufuli alianza kujenga bandari ya Nchi kavu Kwala kwamba mizigo yote itoke bandarini iende...
Mwenyekiti wa Wamiliki wa Malori nchini Tanzania TAMSTOA, Chuki Shabani amesema kwamba kuna baadhi ya watendaji wa Serikali wanamdanganya Mhe. Rais.
Akijibu swali la mwandishi kuhusu ufanisi wa bandari ya Kwala kufanya kazi kama ilivyoahidiwa kuwa itakuwa ni asilimia 100% amesema siyo kweli...
Nadhani Mzee Kikwete anapaswa kubadilika na kuacha Uswahili wake, amevuruga Uzinduzi wa wenzake wa Bandari Kavu kwa kuchomekea yasiyohusika.
Bila shaka Spana za Mitandaoni kote duniani kuhusu Familia yake kupitishwa bila kupingwa zimemuumiza sana, lakini ni vema angeita Waandishi wa habari...
https://www.youtube.com/watch?v=wwLxEK9CEnE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizindua Usafirishaji wa Mizigo kwa SGR Kwala Pwani, leo tarehe 31 Julai, 2025.
https://www.youtube.com/live/hO2T3lOUjmI
Update
Sehemu ya Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan
Ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.