Wabunge waandamana kupinga Bajeti ya Tsh. Milioni 220.6 kununua mavazi ya Rais Museveni

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Wabunge wa upinzani wameandamana kupinga bajeti ya Tsh. Milioni 220.6, sawa na Ush. Milioni 350 iliyopendekezwa kwa ajili ya Nguo, Vitanda, na Viatu vya Rais Yoweri Museveni, kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024

Kwenye bajeti iliyopendekezwa kwa Mwaka wa Fedha 2023/24, jumla ya Tsh. Bilioni 150.6 sawa na Ush. Bilioni 239 zimetengwa kwa ajili ya Ikulu, ambapo Wabunge walipendekeza ipunguzwe hadi Tsh. Bilioni 51.6 sawa na Ush. Bilioni 82

Akipinga bajeti hiyo Mbunge wa Kira Municipality, Ibrahim Ssemujju Nganda, amesema, "Kuna Ush. Milioni 350 kununua nguo. Kiasi kilekile kilipatikana Mwaka jana. Hii inamaanisha tunatumia wastani wa Ush. Milioni 1 kila siku kwa ajili ya nguo za Rais,"

..............

Protest over President Museveni Ksh.12M budget to buy clothes, beddings

President Museveni lays a wreath at the birthplace of China's Founding Father, Chairman Mao Zedong, in Shaoshan Village of Hunan Province in 2019.
Uganda’s opposition Members of Parliament are up in arms over a Ksh.12.8 million (Shs350 million) budget proposed for President Museveni's bedding, clothes and footwear.

According to The Monitor, the money has been allocated under the Annual Budget Estimates for the Financial Year 2023/2024.

The Monitor reports that the protests were led by the Shadow Minister of Finance, Mr Muwanga Kivumbi and Kira Municipality legislator, Mr Ibrahim Ssemujju Nganda who presented the Minority Report together. They rejected some of the proposals in the Majority Report submitted by the Budget Committee Chairperson, Mr Patrick Isiagi Opolot (Kachumbala County).

“There is Shs350 million to buy clothes. The same amount was provided last year. This means we are spending on average Shs1 million (Ksh.36K) on President’s clothes every day,” Mr Ssemujju said while referring to the Minority Report.

“Our President is not a star from Hollywood requiring to change [his] wardrobe every day. He is a president of a poor country. Why buy him clothes worth Shs350 million every year? What happened to the clothes that we bought last year?” Mr Ssemujju added.

In the proposed budget for the Financial Year 2023/24, an amount of Ksh.8.8 billion (Shs239 billion) has been provided for the State House.

The legislators proposed the reduction of the State House Budget by Ksh.3 billion (Shs82 billion).

"...How on earth can we provide Shs43 billion (Ksh.1.6 billion) for ceremonies when the road network in the Capital City has broken down. The money for ceremonies should be spent on repairing roads in Kampala and Wakiso,” Mr Ssemujju said.

The legislators drew attention to other items being funded under State House, including furniture that has been allocated Shs600 million (Ksh.22 million) and veterinary Services Shs184 million (Ksh.6.8 million) among other items.

Source: Citizen Digital
 
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake! Hii ndiyo Afrika.
 
Kwani mseven anafanya kazi kwa kujitolea? Kweli afrika ni dark continent
 
Kila siku mwamba ana gharama ya nguo za milioni moja ya kiganda hatari sana
 
Baadhi ya Wabunge Nchini Uganda wamehoji na kupinga Bajeti ya Tsh. Bilioni 159.49 iliyotengwa kwaajili ya Matumizi ya Ofisi ya Rais Yoweri Museveni ambayo inajumuisha Tsh. Milioni 221.7 za kununua Mavazi ya Rais na Tsh. Milioni 380.1 za Fenicha kila mwaka

Vipi Mdau, unafahamu ni kiasi gani cha Fedha zinatumika kwaajili ya Matumizi ya Rais wako?
 
Kiwango hicho ukicovert kwa tsh. Hakiko mbali sana na hela ya budget ya rais wetu pia..
Huku ilipita bila kupigwa wala kushikiwa shilingi..anyway kila sehemu na kipao mbele chake..
 
Tuvitu tudogotudogo ivi tena vya makusudi na vyakuudhi vinaweza leta machafuko yasio na maana. Kweli waziri unalishawishi bunge kuhusu Bajeti ya mavazi ya Rais? Maana yake mnajenga msingi wa kwamba tukinyamaza mtaleta bajeti ya Mavazi ya Waziri Mkuu, Mawaziri, speaker, jaji mkuu n.k.
Ifike Mahali watu wakiwa kimya na shida zao za garama ya maisha msiwachokoze kwa Lazima na vitu kama ivi
 
inauma sana
 
Back
Top Bottom