Mkuu nimekusikilza kwa makini sana, natamani kama ungeibukia kwenye moja ya mikutano ya Dr Slaa uyaseme haya ili wengi wakusikie. Naamini wengi zaidi wangeongoka.
hehehe..."kama huridhiki ni lazima ukatae!hili ni swala la maji na moto!"....hahahahaa
nimefurahi kweli. Nimemkumbuka Bush..."u r either for us or against us"...kazi kwisha. Na kama sidhani kuna aliye tayari kuongoza huku bado sijaridhika nifanyaje?