Nadhani ni Nolywood ndio maana hajapokea kichapo kutoka kwa wenye nchiKuna baadhi ya maaskari ni miyeyusho, yani ameshindwa kutumia busara kuwaambia waondoke kweli?
View attachment 2926351
SIJUI NI NCHI GANI HII.
hiyo ni Angola naona country code yao kwenye hayo matangazoHii sio Tz 🤔🤔 angalia matangazo yaliyo ukutani
Kuna mambo mengine tusilaumu tu kabla hatujayajua kiundani,Kuna baadhi ya maaskari ni miyeyusho, yani ameshindwa kutumia busara kuwaambia waondoke kweli?
View attachment 2926351
SIJUI NI NCHI GANI HII.
Mkuu hapa issue sio kwamba tunalaumu kwa Askari kucwachukulia hatua hao wafanya biashara bali lawama ni kwa aina ya hatua aliyoichukua ya kupiga mateke hayo matunda,unaona hivyo ni sahihi? hakukua na njia nyingine ya kiutu zaidi ya hiyo?Kuna mambo mengine tusilaumu tu kabla hatujayajua kiundani,
Hapo huenda haparuhusiwi biashara, huenda na tangazo kabisa lipo hapohapo lakini utakuta watu wanajifanya kichwa ngumu wanaenda kufanya biashara hapo alafu yakitokea hayo wanaanza kulalamika hawana utu.
Ukija leo ukawaambia kwa upole, kesho yake wanarudi tena wakiamini hawezi kutufanya kitu.
Kuna mambo mengine ukifuata sheria haya mambo hutakumbana nayo.
Shida watu ni wakaidi sana, mpaka utumie nguvu ndio wanaelewa.
Hapo unakuta zimepita siku 2 tangu wameondolewa kiustaarabu lkn wamerudi.Ukiwa kinyume na sheria unapochukuliwa hatia usipende kulalamikaMaskini huwa tuna lawama sana. Tunalazimisha kufanya biashara maeneo yasiyoruhusiwa tukiambiwa tuondoke hatutaki. Mabadiliko hayaji kwa kubembelezana
Binafsi naona wajinga hao laia 50 wanaoshindwa kumzika na mawe hapoKuna baadhi ya maaskari ni miyeyusho, yani ameshindwa kutumia busara kuwaambia waondoke kweli?
View attachment 2926351
SIJUI NI NCHI GANI HII.
Kuna kipindi sisi tulikua tunafanyia kazi maeneo yasio ruhusiwa na halmashauri kwa kuweka meza ndogo za uwakala, jamaa walikua wakija tunakimbia na meza zetu ukiacha wanaivunja.Mkuu hapa issue sio kwamba tunalaumu kwa Askari kucwachukulia hatua hao wafanya biashara bali lawama ni kwa aina ya hatua aliyoichukua ya kupiga mateke hayo matunda,unaona hivyo ni sahihi? hakukua na njia nyingine ya kiutu zaidi ya hiyo?
njia sahihi kuchukua hatua ni kuwahimiza wabebe bidhaa zao na kuondoka.Mkuu hapa issue sio kwamba tunalaumu kwa Askari kucwachukulia hatua hao wafanya biashara bali lawama ni kwa aina ya hatua aliyoichukua ya kupiga mateke hayo matunda,unaona hivyo ni sahihi? hakukua na njia nyingine ya kiutu zaidi ya hiyo?