Video:Anasia Kwenye Kifua Cha Mke Wa Mtu

Video:Anasia Kwenye Kifua Cha Mke Wa Mtu

Mi nnayo inanatisha kama supa gluu vile...

Ila sasa lazima kuwe na praktiko kujua ubora wake...
Sasa sijui nkeo atakubali hiyo praktikooooo...

Number ya cm ya mganga ntapata wapiii.... Namimi nataka sana iyo nimtie mtu adabu
 
Kenya ni mchezo wao wa kawaida sana. Sasa baada ya kuwanasua sijui ndoa itaendelea au ndo kwishnei! Maana mume anasema bado anampenda.
 
Mi nnayo inanatisha kama supa gluu vile...

Ila sasa lazima kuwe na praktiko kujua ubora wake...
Sasa sijui nkeo atakubali hiyo praktikooooo...
Mimi ni kee nataka nimfanyizie mume wangu
 
Back
Top Bottom