By
Nyetk
Ndg
life is Short naona unajitahidi kuhoji kwa hisia kutetea "innocency" ya hiyo dini yako. Waislamu wanaoongea kama wewe muda huu naomba wanijibu maswali haya: mlikuwa wapi muda wote wakati mbegu ya chuki inapandwa????? wapanda chuki mbona walitumia mihadhara ya kidini na misikiti hiyo hiyo? Wewe na wenzako mnaotaka mjulikane sii kati ya hao unaowaita eti "wachache", mmetoa ushirikiano gani ili kufichua magenge na vituo vya mafunzo ya kigaidi vilivyotapakaa nchini - Tanga, Same, Arusha, Ukerewe na kwingineko??? Mbona hatujawahi sikia mseme hayo mafunzo ya ugaidi mnayalaani? Mbona hamjawakana hao waliokuwa wanawapandikiza chuki? Ninapokosa majibu ya maswali haya nawaona ni WANAFIKI TU!
Nijukumu langu kama RAIA mwema nihuzunike na nipate uchungu kwa hisia zote:- MojakwaMoja sintotetea niAmini usiAmini naomba ufungue kanafasi kifuani upoke majibu ya haki na yenye kutoka kwa vitabu vya haki:
1. Uisalamu ni kuamini na kushuhudiya (ALLAH) mungu ni mmoja wakuabudiwa. Kwa hiyo kwanini tupandikize chuki za kishetani?
( hatuna sehemu moyoni na kiimani kuweka UOVU waina yyte. iLa kutii na kumuabudu ALLAH )
2. Misikii yote ni sehemu ya ibadaa na (hujulikana nyumba ya kuabudu Allah) Ndani ya misikiti hatuna maduka, kuna jamvii na misahafu tu, Maji ya kutawadha yapo pembeni. Al-muhadhara ni mada ya kukumbushana kufanya MEMA na Kukatazana MABAYA ili ALLAH (mungu) akubali yetu na atupe kheri na baraka zake.
3. Hatuwezi kuweka Dola ingine juu ya serikali na nguvu zake zilivyo ili tulinde au kuzui magenge (unayoyaita wewe) au vituo (pia umevitaja wewe) ambayo hatuna kithibitisho maalum. Huo ni nafikiri kuna WIZARA ya NCHI na idara za INTELIJNSIA hiyo ni kazi yao UFANISI wa serikali UTATAMBUA kabla ya mimi na wewe kuwaelekeza wapi waende.
4. Umesha wahi kusikia siku ya ijumaa kwa waisilamu ni ibadaa ya adhuhuri!! hapo kunasomwa HOTUBA ya kila wiki(WEEKLY SERMON) mawaidha ZAIDI na UHAKIKA ina lenga KUTENDEANA UAMINIFU,UHALALI WEMA,NK. na kukaripia UFUSUKA, UOVU ,UFISADI na mengi ya yasiyoambatana na mafunzo ya DINI hii ya msamaha. AMIN
5. SOMO na HOTUBA za kuLAANI zipo katika kila SALAA (prayer) tano za siku; husemagwa hivi, "3UDHU BILAHI MINA SHEYTWANI AL-RAJIIM"
Wandugu zetu sheria za kimataifa yote ni kila mmoja awajibike na watoto wake na wanawe, ikiwa kosa la wachache au wahuni ( wenye sifa mbaya ) Musichanganye au KUJUMULISHA (GENERALIZATION) na Umma wa SALAAM na AMANI. hao wahalifu watiwe nguvuni na SHERIA ifuate mkondo nasi hakuna wa kuwa tetea wala kuwafuata.
Naamini nimekuridhisha ili tuweze songa mbele na kurekebisha ya kiURAIA. Dola nayo ijihusishe kikatiba.
Al-SALAAM liman Taba Al-HUDA. ahsante kwa wote.