Victor Ambrose ndie aliyerusha bomu kanisani !

Victor Ambrose ndie aliyerusha bomu kanisani !

Huyo Victor Ambrose abanwe mazagazaga hadi awataje mabwana zake hao waliomtuma halafu wote wauwawe kwa kupigwa bomu hadharani. Ni maoni tu.

kwanini ateswe njia rahisi ni kunyogwa mbele ya kadamnasi tena sokoni ili wajue tumekasikilika zaidi ya hapo utasikia hana hatia..

we need free world..
 
Kwahiyo kumtaja Mtuhumiwa kuwa ni Victor Ambrose ni Usenge ! Sawa bhanaaaa... Mie nakubali matusi yako maana yanatoka kwenye kinywa cha mtu aliyekula sakramenti ya Ubishi !

Ulitaka kusikia kuwa mtuhumiwa ni Ally Mohammed ili UFURAHIII.....!

Unajuaje kama hakupewa mpunga? Jamaa wanatumia fedha. Kwani Yuda hakumsaliti Yesu kwa vipande thelathini vya fedha? Tunao watu wenye tabia kama za Yuda Iskariote wengi katika nchi hii. Kinachosikitisha ni mauaji ya watu wasiokuwa na hatia. Hata hivyo njama na mipango imefanywa na hao hao ndugu zetu Waislamu. Ukubali au Ukatae. Habari ndio hiyo. Siko upande wowote wa dini siegemei kokote mods naomba ni declare interest. Dhamira yangu inanieleza kwamba hawa waarabu wanatumia ngawira kutuua. Huku Mtwara kuna waarabu wanajifanya kuja kuwekeza kwa kununua ma hekta na mahekta ya mashamba na wanavijiji wanajengewe only Misikikiti, Narudia only Misikiti (mgogoro mkubwa sana unafukuta chini kwa chini- baina ya mkuu wa Wilaya na hao wawekezaji kupitia vibaraka wao wanaotumia pia mbegu ya Udini na Hawa Ghasia mmojawapo. Kama naongopa Jamii Intelligence ichunguze.) Wanapita kwa huyo JK, TIC na kote huko. Ndio maana waswahili wanasema ficha ujinga wako onyesha hekima yako.
 
Victor Ambrose + Raia wa SAUDIA = UAGAIDI.
SIJUI TUNAPOKUBALI KUTUMIKA NDANI YA NCHI YETU KUUA NDUGU ZETU KWA MANUFAA YA WA SAUDI ARABIA INATUSAIDIA NINI???
 
Msiwe wapumbavu nyie,
Radio Maria wakati inarusha matangazo yake walisema wazi watoto waliona watu walikuja na gari mtu akashuka amevaa kanzu na koti akarusha kitu kwenye mfuko wa plastic na kukimbia na kupanda gari leo mmekubali kudanganywa eti kijana Ambrose amehusika endeleeni kupumbazwa wenye akili tulisha elewa tola jumapili nani wahusika.
 
Victor Ambrose + Raia wa SAUDIA = UAGAIDI.
SIJUI TUNAPOKUBALI KUTUMIKA NDANI YA NCHI YETU KUUA NDUGU ZETU KWA MANUFAA YA WA SAUDI ARABIA INATUSAIDIA NINI???
na usikute hawa waarabu nao wametumwa na bilionea wa kiarabu mwenye hisa kwenye kampuni kama chevron,shell,British Petrolium(BP) ambaye naye huyo bilionea kapewa jukumu na bodi ya wakurugenzi inayoongozwa na tuseme george kichaka,james barker au bi clinton.

Target ikiwa ni gas.
Hizi issue main thing sio dini.dini hutumiwa tu kujustfy...pesa ndo target.
 
Watanzania kuna watu wanatuchonganisha maana wadau wengi hawakutaka kusubiri ukweli na walichotaka wao ni Sheikh Ilunga tu akamatwe kana kwamba Sheikh Ilunga ana ugomvi nao !!

Baada ya kusikia ni Victor wameshakaa kimyaaa !

Kwanini alivaa kanzu ? Ili iweje ?
Mkuu hao
Jamaa hakika wameumbuka vibaya sana maa walitegemea muusika atakua Abdala kumbe Ambrose.
 
Msiwe wapumbavu nyie,
Radio Maria wakati inarusha matangazo yake walisema wazi watoto waliona watu walikuja na gari mtu akashuka amevaa kanzu na koti akarusha kitu kwenye mfuko wa plastic na kukimbia na kupanda gari leo mmekubali kudanganywa eti kijana Ambrose amehusika endeleeni kupumbazwa wenye akili tulisha elewa tola jumapili nani wahusika.

Mkuu,
Kardinali Pengo ametoa tamko kuwa saga hiyo sio issue ya kidini ila kuna msuguano ndani ya Jimbo hilo la nani hasa ataongoza kanisa hilo.

Sisi tunamsikiliza zaidi Kardinali Pengo maana ndie mwenye ukweli wa mwisho kutoka katika vyanzo mbalimbali juu ya saga hilo tena tamko hilo kalitoa Radio / Tv Tumaini jana saa 2 usiku katika taarifa ya habari.

Sasa wasiwasi wako wewee uko wapi ?
 
..Victor Ambrose! Bado najaribu kujiuliza ni kwa nini jina hili naliona ni JEPESI sana kiasi kwamba lingeweza pia kuwa:

Patrick Martin
Steven George
John Charles

Henry Emmanuel
Richard Ezekiel
Peter Robert
Joseph Patrick nk.

Naomba nieleweke tu hapa kuwa ninaposema 'Majina Mepesi' nina maana tofauti na yale 'mazito' kama;

Patrick Maganga
Timothy Mhina
Steven Shayo
Victor Mapunda
Samuel Mbenna
Jeremiah Kalokola
Simon Mazengo na kadhalika na kadhalika...

...Nawaza tu...!
:A S 39: :nimekataa
 
tumechoka sasa watanzania, ikiwa serikali imeamua kuwa biased sawa tu, ikiwa wakristo wameamua sasa kutupiana mabomu wenyewe baada ya kuona wale wenye siasa kali aka uamsho hawatekelezi ipasavyo yote ni mema. lakini chochote kibaya kitafichwa na kutengenezwa ila naamini litavunda tu ipo siku na ukweli utakaa wazi. tumeshaona mwenendo na mikakati, sijui nia hasa ni nini, bila shaka ni kuwataka wakristo wakae kimya hadi maharamia yakamilishe matakwa yao kadri wanavyopenda. wote wanaohusika katika kuleta amani lakini wanatenda kinyume tunawaombea kwa Mungu, maana Mungu peke yake ndiye mwamuzi/hakimu wa kweli na asiyependelea.
nimeona nimetumiwa mgs hizi za mzunguko zikidai zisambazwe kwa wakatoliki wote kuomba amani, ina maana wengine wao hawataki amani?! au wengine tuombe amani na wengine waondoe?!
 
Tusiiamini sana Serikali maana imeshadanganya sana katika matukio kama haya, mnakumbuka kifo cha Mwandishi wa Habari Iringa mwanzoni walisema ni Mwandishi kauawa kwa kulipikiwa na kitu kilichokuwa kikipita hewani baada ya kurushwa na vijana wa Chadema, lakini baadaye kuna mtu alikuwa na ushahidi wa picha, wakabadirisha kauli kwamba aliuawa kwa kupigwa na bomu lililopigwa kimakosa na Poisi aliyetajwa jina na jina lenyewe halipo katika orodha ya Polisi wetu hapa TZ
 
Huyo Victor Ambrose abanwe mazagazaga hadi awataje mabwana zake hao waliomtuma halafu wote wauwawe kwa kupigwa bomu hadharani. Ni maoni tu.

Mchana mwema na pole kwa jamii yote;
Samahani kwa sintofahamu za wengi Lakini Balaa hili linatuGUSA wote. Ndugu Lorah kwa huzuni na simanzi tupo pamoja na wote tumeathirika. hayo yote yalosemwa au kukadiriwa na wachangiaji humu kuJF ni hisia za watu wachache sana, na mawazo yao tu ..Na siyo tamko la dini ya kiislamu au mmafundisho ya waiIsalamu. Amini wapo kundi dogo mno linatumia agenda zao na njama za ki-sh-en-zi (aiybu tupu kwa dini) na uhuni wao kwenye mgongo wa Dini ya kislamu.. Ambayo Dini hii ni (iNNOCENT) pure and clean to humankind. Mie kama ni mmoja wawaumini niakuthibitishia kuwa wapo wahuni wasiyo ogopa mungu wala kuheshimu mwaongozo wa imani za dini, huwa wanajificha katika kivuli cha dini. Tunaiomba serikali ichukuwe jukumuu la kuwa ngo'a na kuwa kashifu hadharani, kwani hao wahalifu ndo walotufikisha hapa na kutupakazia matope kwa kutumia jina la mungu na dini yake.... Again nasikitika kusema tumeguswa sana na tukio la ugaidi huu usiyo na tija la aina yeyote. kama siye ni wananchi wenzenu naomba tuvumiliane na kushirikiana lisiendelee na kulikomesha papo hapo!! God forbid.
Udugu uendelee watanzania. amen
 
siku za karibuni kumekuwepo jitihada kubwa sana za watu wachache wasiyoitakia mema nchi yetu kutaka kupandikiza chuki za kidini miongoni mwa watanzania na kuleta mapigano na mauaji miongoni mwa watanzania, sina shaka kuwa shambulio la Arusha ni sehemu ya mikakati hiyo miovu. Nataka niwahakikishie Watanzania kuwa Serikali haitavumilia hata kidogo mbegu za chuki za kidini miongoni mwawatanzania na tutachukua hatua kali bila huruma kuzigandamiza njama hizi mbaya dhidi ya taifa letu.
Serikali kamata weka ndani maisha yao yote.
Tanzania yenye amani inawezekana.
Mchana mwema na pole kwa jamii yote;
Samahani kwa sintofahamu za wengi Lakini Balaa hili linatuGUSA wote. Ndugu kwa huzuni na simanzi tupo pamoja na wote tumeathirika. hayo yote yalosemwa au kukadiriwa na wachangiaji humu kuJF ni hisia za watu wachache sana, na mawazo yao tu ..Na siyo tamko la dini ya kiislamu au mmafundisho ya waiIsalamu. Amini wapo kundi dogo mno linatumia agenda zao na njama za ki-sh-en-zi (aiybu tupu kwa dini) na uhuni wao kwenye mgongo wa Dini ya kislamu.. Ambayo Dini hii ni (iNNOCENT) pure and clean to humankind. Mie kama ni mmoja wawaumini niakuthibitishia kuwa wapo wahuni wasiyo ogopa mungu wala kuheshimu mwaongozo wa imani za dini, huwa wanajificha katika kivuli cha dini. Tunaiomba serikali ichukuwe jukumuu la kuwa ngo'a na kuwa kashifu hadharani, kwani hao wahalifu ndo walotufikisha hapa na kutupakazia matope kwa kutumia jina la mungu na dini yake.... Again nasikitika kusema tumeguswa sana na tukio la ugaidi huu usiyo na tija la aina yeyote. kama siye ni wananchi wenzenu naomba tuvumiliane na kushirikiana lisiendelee na kulikomesha papo hapo!! God forbid.
Udugu uendelee watanzania. amen
 
tumechoka sasa watanzania, ikiwa serikali imeamua kuwa biased sawa tu, ikiwa wakristo wameamua sasa kutupiana mabomu wenyewe baada ya kuona wale wenye siasa kali aka uamsho hawatekelezi ipasavyo yote ni mema. lakini chochote kibaya kitafichwa na kutengenezwa ila naamini litavunda tu ipo siku na ukweli utakaa wazi. tumeshaona mwenendo na mikakati, sijui nia hasa ni nini, bila shaka ni kuwataka wakristo wakae kimya hadi maharamia yakamilishe matakwa yao kadri wanavyopenda. wote wanaohusika katika kuleta amani lakini wanatenda kinyume tunawaombea kwa Mungu, maana Mungu peke yake ndiye mwamuzi/hakimu wa kweli na asiyependelea.
nimeona nimetumiwa mgs hizi za mzunguko zikidai zisambazwe kwa wakatoliki wote kuomba amani, ina maana wengine wao hawataki amani?! au wengine tuombe amani na wengine waondoe?!

Mchana mwema na pole kwa jamii yote;
Samahani kwa sintofahamu za wengi Lakini Balaa hili linatuGUSA wote. Ndugu Monyi' kwa huzuni na simanzi tupo pamoja na wote tumeathirika. hayo yote yalosemwa au kukadiriwa na wachangiaji humu kuJF ni hisia za watu wachache sana, na mawazo yao tu ..Na siyo tamko la dini ya kiislamu au mmafundisho ya waiIsalamu. Amini wapo kundi dogo mno linatumia agenda zao na njama za ki-sh-en-zi (aiybu tupu kwa dini) na uhuni wao kwenye mgongo wa Dini ya kislamu.. Ambayo Dini hii ni (iNNOCENT) pure and clean to humankind. Mie kama ni mmoja wawaumini niakuthibitishia kuwa wapo wahuni wasiyo ogopa mungu wala kuheshimu mwaongozo wa imani za dini, huwa wanajificha katika kivuli cha dini. Tunaiomba serikali ichukuwe jukumuu la kuwa ngo'a na kuwa kashifu hadharani, kwani hao wahalifu ndo walotufikisha hapa na kutupakazia matope kwa kutumia jina la mungu na dini yake.... Again nasikitika kusema tumeguswa sana na tukio la ugaidi huu usiyo na tija la aina yeyote. kama siye ni wananchi wenzenu naomba tuvumiliane na kushirikiana lisiendelee na kulikomesha papo hapo!! God forbid.
Udugu uendelee watanzania. amen
 
Kwanza tactics zilizotumika kurusha hiyo kitu siyo ya middle east .
Tafuteni watu ambao wamechukizwa na mumomonyoko wa maadili ya kanisa hilo
 
Msiwe wapumbavu nyie,
Radio Maria wakati inarusha matangazo yake walisema wazi watoto waliona watu walikuja na gari mtu akashuka amevaa kanzu na koti akarusha kitu kwenye mfuko wa plastic na kukimbia na kupanda gari leo mmekubali kudanganywa eti kijana Ambrose amehusika endeleeni kupumbazwa wenye akili tulisha elewa tola jumapili nani wahusika.
sasa wewe mwenye
AKILI sindio umtaje? Mulizoea kuwapakazia waislam harufu ya ugaidi sasa mungu kawaumbua
 
Kwanini atajwe tu Victor Ambrose??? Hao wengine watajwe kwa namba..
 
Back
Top Bottom